Msaada please!

Msaada please!

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
Mu hali gahi wana CC? Habari ya siku nyingi? Naomba msaada mnijuze maana yz neno hili MBACHAO! Linanitatiza mno!
 
[video=youtube;nw]http://www.youtube.com/watch?list=PL8FEE1AA1AE3B3EFB& feature=player_detailpage&v=nw h4KFDYfD0[/video]
 
Kiusahihi mbachao ni muunganiko wa "mbacha" - neno linalomaanisha mkeka/jamvi kuukuu/ kongwe na "o" kiwakilishi cha umiliki - kwa hapa ni "wako"

Usiwache mbachao kwa msala upotao ina maana ya usiwache mbacha wako kwa msala (kipande cha zulia au jamvi jipya) upitao (wa mtu mwengine)

Yaani usidharau chako hata kama si kizuri sana kwa kutegemea kitu cha mwengine

Kiwakilishi "o" hapo kimetumika sawa na viwakilishi "lo" kwenye "jambolo" au "yo" kwenye "mamboyo" au "o" kwenye "mkekao"

Vyote vinawakilisha umiliki


Cc:
 
Kiusahihi mbachao ni muunganiko wa "mbacha" - neno linalomaanisha mkeka/jamvi kuukuu/ kongwe na "o" kiwakilishi cha umiliki - kwa hapa ni "wako"

Usiwache mbachao kwa msala upotao ina maana ya usiwache mbacha wako kwa msala (kipande cha zulia au jamvi jipya) upitao (wa mtu mwengine)

Yaani usidharau chako hata kama si kizuri sana kwa kutegemea kitu cha mwengine

Kiwakilishi "o" hapo kimetumika sawa na viwakilishi "lo" kwenye "jambolo" au "yo" kwenye "mamboyo"

Vyote vinawakilisha umiliki


Kumbe waalimu tuko wengi,haya hapa nitaomba msaada wa watu8 aniletee vitenzi vifurukushi,bila kumsahau Kiranga.Huyu jamaa kwa Lugha ninamuheshimu..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom