Habari za kazi wote kwa ujumla jamani....Nilikuwa naombeni mtu yoyote mwenye kufahamu kama anaweza kunielewesha nifanye nini ili niweze kusolve hii problem....Juzi nilikuwa nataka niinstall internet explorer 7 soo baada ya kuinstall pc yangu yangu ikazimika ghafla baada ya hapo nikaifungua baada ya kufunguka kawaida huwa nikifungua inafunguka moja kwa moja so sasa hivi nikifungua inafunguka ikifika mahali inaandika welcome and then hapo hapo inasema kwamba
sasa nilikuwa nataka niitoe hii software siitaki tena maana nilijua kwamba itanisaidia kumbe ndio imenipa ugonjwa mwingine nimejaribu kucheck kwenye contol panel kwenye install or remove program sijaiona hii genuine na pia nimecheck pia kwenye system restore nimejaribu kui restore pc yangu inaniambia siwezi kui remove sasa mnaweza kunisaidia kujua kwamba hii software itakuwa upande gani kwenye pc na pia nitairemove vipi??
You may be a victim of software counterfeiting
This copy of window did not pass genuine window validation