Msaada Please

Yassin

JF-Expert Member
Jul 23, 2008
326
7
Habari za kazi wote kwa ujumla jamani....Nilikuwa naombeni mtu yoyote mwenye kufahamu kama anaweza kunielewesha nifanye nini ili niweze kusolve hii problem....Juzi nilikuwa nataka niinstall internet explorer 7 soo baada ya kuinstall pc yangu yangu ikazimika ghafla baada ya hapo nikaifungua baada ya kufunguka kawaida huwa nikifungua inafunguka moja kwa moja so sasa hivi nikifungua inafunguka ikifika mahali inaandika welcome and then hapo hapo inasema kwamba

You may be a victim of software counterfeiting
This copy of window did not pass genuine window validation

sasa nilikuwa nataka niitoe hii software siitaki tena maana nilijua kwamba itanisaidia kumbe ndio imenipa ugonjwa mwingine nimejaribu kucheck kwenye contol panel kwenye install or remove program sijaiona hii genuine na pia nimecheck pia kwenye system restore nimejaribu kui restore pc yangu inaniambia siwezi kui remove sasa mnaweza kunisaidia kujua kwamba hii software itakuwa upande gani kwenye pc na pia nitairemove vipi??
 
bwana yassin copy yako ya windows sio genuine sio halali kwahiyo unatakiwa kopy halali cha kufanya unaweza kuinunua kama una internet nafikiri kuna sehemu ya kuclick ili uweze kununua halali , kingine unachoweza kufanya kama computer yako ulinunua mpya toka dukani lazima itakuwa na labal fulani pembeni ya microsoft ambayo ina product keys unaweza kutumia hizo pia kama zinaendana na software iliyokuwepo hapo .

http://www.codinghorror.com/blog/archives/000597.html unaweza kusoma zaidi kuhusu ninachosema

software hiyo ni gharama najua wengi ni ngumu kwao kununua lakini unaweza kupatiwa kopy zingine lakini sio halali kuna baadhi ya vitu ukifanya kama kuupdate hiyo internet explorer huku ukiwa umechomeka mtandao lazima ivarify kwa msaada zaidi unaweza kuuliza na kueleweshwa

thanks
 
Shy nashukuru sana tena sana na nadhani pia yaani nikifungua tu pc yangu inaonyesha kama hapo kwenye hiyo link ambayo umeweka niifungue....Pia mimi sikuwa na nia ya kuinstall kwenye pc yangu... pc yangu inafanya kazi bila wasiwasi wowote ule na wala sikuwa na haja ya kuweza kuinstall hii kitu maana pc yangu sasa naona kama imenipa pc yangu iwe na ugonjwa sasa siwezi kuiremove au nifanyeje ili niweze kusolve hii problem maana nimeona kiasi inachouzwa ni hela ambazo siwezi kuzitoa bila sababu maana pc haina matatizo yoyote yale so nadhani unaweza nisaidia kwa msaada wako zaidi nifanye nini ili niweze kusolve na pia je hizo copy ambazo sio halali nikiweka na zenyewe haziwezi kusumbua...Nategemea unaweza kunipa ushauri zaidi nifanye ili niweze kumaliza hili tatizo
 
Ndugu Yassin Unaweza Kuniambia Unatumia Windows Xp Gani Kama Ni Profesional Na Service Parck Gani Au Kama Ni Home Edition Nijibu Hilo Halafu Naweza Kukupa Offer Nzuri Ya Cd Ambayo Ni Halali Pamoja Na Keys

Ahsante unaweza kuniandikia email na kunipatia no yako ya simu hollymaro@gmail.com
 
Asante sana nadhani unaweza kucheck email nimekutumia pia....
 
People,

You cannot be using illegal cable and call the cable company for a DVR upgrade, they will disconnect you.

Kuna updates nyingine ni za upstanding taxpaying citizens, wanaoweza kuchukua simu na kuwafokea Microsoft.

Ya gotta know what you install, otherwise the cops might come knocking.

If you want to liberate, you gotta know how. If you want to be a taxpaying upstanding citizen, ya gotta know how, ya gotta know how, either way ya gotta know how.
 
sijaona email yako - anyway nakushauri uende katika workshop iliyokaribu na wewe utapatiwa msaada wa uhakika zaidi
 
Pole kwa Yaliyokukuta!U can PM me and i will Give you a FREE KEY.It can be used to update anything you want including all those nagging updates.Am not sure kama kuiweka wazi kwa kila mtu kuiona ni sahihi...,
Kuna ways za kuchange Windows registered key..,lakini hii inaweza kuwa mtego kwa IT handicapped fellas..,But never mind.there is always a simpler option.
all you need to so is re-installing the windows..,then put the Key that i will provide for you!
there is no need to go back to stone age of we have means..,
anyone in need PM me..,remember..,i will give it for FREE.
 
Kaka shy mbambo,

mimi pia nashida naomba msaada wako kakangu. Mimi bado nimgeni kwenye hii thread, nataka kwanza kubadilisha jina langu alafu pia ni jinsi gani mtu anaanza kuandika topic fulani? Na pia nataka kuweka picha nifanyanje?
asante.
 
Dada yangu karibu sana , kuhusu kubadilisha jina wasiliana na invisible atakusaidia zaidi au admin , kuna mode kama painkiller pamoja na ole wote hawa , kuhusu topic angalia katika kila jukwaa unapofungua tu angalia juu kushoto kuna sehemu imeandikwa new post hapo ndio unaweza kuandika yako na kuhusu picha angalia katika control panel yako kuna sehemu ya kuweka avator yako mwenyewe avator ni nyingi ukitafuta katika google unapata nyingi tu unaweza kutumia au utengeneze mwenyewe lakini vipimo angalia katika control panel vinavyotakiwa usiku mwema
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako sasa nimejaribu kudownload hilo file ambalo ni funguo.rar RAR File na kusave so nikitaka kufungua linakataa kabisa what inabidi nifanye unaweza nielekeza kidogo hapo??Maana nimeshalisave lakini kufunguka halitaki kabisa
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako sasa nimejaribu kudownload hilo file ambalo ni funguo.rar RAR File na kusave so nikitaka kufungua linakataa kabisa what inabidi nifanye unaweza nielekeza kidogo hapo??Maana nimeshalisave lakini kufunguka halitaki kabisa
download hapa
 
People,

You cannot be using illegal cable and call the cable company for a DVR upgrade, they will disconnect you.

Kuna updates nyingine ni za upstanding taxpaying citizens, wanaoweza kuchukua simu na kuwafokea Microsoft.

Ya gotta know what you install, otherwise the cops might come knocking.

If you want to liberate, you gotta know how. If you want to be a taxpaying upstanding citizen, ya gotta know how, ya gotta know how, either way ya gotta know how.


..............lmao!
 
Jamani wadau nimeamua kuja kuchangia na nyinyi kwa kile nilichofanikiwa kupata maana sidhani kama hili tatizo nilipopata mimi si mimi tu ambaye nimepata nimeshatatua au kuna wengine wanalo nikasema wacha nije ni mwage hapa hili tatizo ambalo nimeshalisolve ili na nyinyi muweze kufaidika pia..Pia kabla sijaanza kusemea hili tatizo ni kwamba soma topic ya kwanza kabisa na fatilia hatua kwa hatua mpaka hapa nadhani utaelewa zaidi...Ok nadhani nilikuwa na tatizo la window Genuine ambayo ilikuwa inanisumbua sana ilikuwa vigumu sana kuiremove kutoka kwenye computer lakini naweka process hapo chini hatua kwa hatua zifatilie kama unatatizo hilo basi kila kitu chako kitakuwa sawa kabisa na nina uwakika 100% pia nimewauliza MICROSOFT ndio wamenieleza kama ifuatavyo hapo chini....

I have checked the Product Key (((Hapa waliandika Product key yangu))), and find it is an invalid key which is generated by Key generator. Being an end user myself, I do understand the situation is frustrating. I would like to explain that if the Product Key is invalid, we cannot validate Windows and get the updates from the Microsoft Update site. Please be assured that we can still get all the security updates via Automatic Updates, which will not require validation. Therefore, to keep the system in a safe environment, I suggest trying the following steps to enable the Automatic Updates feature.

a. Click "Start", click "Run", enter "SYSDM.CPL" (without quotation marks) and then press Enter.

b. On the Automatic Updates tab, select the option "Automatic (recommended)", and then click OK.

After that, it security updates will be automatically downloaded and installed.

In addition, in order to ensure you can get all the updates and services of Microsoft, I recommend you install the system with a genuine Product Key. Based on the current situation, we have the following three options:

Option 1:

=======================

Go back to the place where the original copy of Windows was purchased, inform the reseller about the problem and have them reinstall the Windows by using a genuine Product Key.

Option 2: Purchase a genuine key from Microsoft

=======================

Microsoft Customer Service (800) 426-9400 is available Monday through Friday, from 6:30 A.M. to 5:30 P.M. pacific time.

Note: Microsoft Customer Service mainly handles issues regarding replacement manuals, disks, drivers and service packs, product IDs, or lost CD-keys, product orders, policies related to copying software on additional computers, licensing, and product registration.

Option 3:

=======

Electronic Key Offer: Microsoft offers an alternative for customers who find out via the WGA validation process that they are not running genuine Windows, but do not qualify for, or choose not to take the complimentary offer. You will be able to license a Windows Genuine Advantage Kit for Windows XP online for a relatively low price. For more information, we can refer to the following link:

http://www.microsoft.com/genuine/downloads/notepurchaselink.aspx

=====================================================================

However, if it is inconvenient for you to obtain a Product Key at present and you feel annoyed that the notification appears each time when logging onto the system, we can also refer to the following steps to disable it as a workaround.Disable WGA Notifications

===================

1. Click "Start", click "Run", and type in "system32" (without the quotes) and press "Enter".

2. In the opened folder, look for the file named "WgaTray.exe".

3. Right-click on the file, select "Rename" and type "WgaTray.old" (without the quotes) to rename this file.

4. Please also locate the file "WgaLogon.dll" (without the quotes) in the same folder and rename it to "WgaLogon.old" (without the quotes).

5. Click "Start", click "Run", and type in "DLLCACHE" (without the quotes) and press "Enter".

6. In the opened folder, look for the file named "WgaTray.exe".

7. Right-click on the file, select Rename and type "WgaTray.old" (without the quotes) to rename this file.

8. Please also locate the file "WgaLogon.dll" (without the quotes) in the same folder and rename it to "WgaLogon.old" (without the quotes).

9. Then restart the computer and see if you still receive the notification.

For more information, we can also refer to the following Knowledge Base Article:

http://support.microsoft.com/kb/921914

Pamoja nadhani hapo nitakuwa nimeeleweka zaidi

Best regards,

 
Last edited:
Shy nashukuru sana tena sana na nadhani pia yaani nikifungua tu pc yangu inaonyesha kama hapo kwenye hiyo link ambayo umeweka niifungue....Pia mimi sikuwa na nia ya kuinstall kwenye pc yangu... pc yangu inafanya kazi bila wasiwasi wowote ule na wala sikuwa na haja ya kuweza kuinstall hii kitu maana pc yangu sasa naona kama imenipa pc yangu iwe na ugonjwa sasa siwezi kuiremove au nifanyeje ili niweze kusolve hii problem maana nimeona kiasi inachouzwa ni hela ambazo siwezi kuzitoa bila sababu maana pc haina matatizo yoyote yale so nadhani unaweza nisaidia kwa msaada wako zaidi nifanye nini ili niweze kusolve na pia je hizo copy ambazo sio halali nikiweka na zenyewe haziwezi kusumbua...Nategemea unaweza kunipa ushauri zaidi nifanye ili niweze kumaliza hili tatizo


..yassin,

..na wengine,

..huwezi kuiondoa hiyo kitu, mpaka u-install afresh windows os.

..hapo una mawili, utumie key anayoisema pangupakavu au ununue windows os isiyo ya wizi [pirated].
 
Back
Top Bottom