Msaada please

Msaada please

rupiiiiiiiiii

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
8
Reaction score
2
Nimeitwa interview apex consultant natasa ya public relation ila wanataka nitume pesa elfu 22 ya registration na tunatuma kwa mpesa au tigo pesa.

kuna mtu anawafahamu aniondoe hofu au kunaaliyeitwa anijuze mana nawaza usawa huu mgumu sana afu nitapeliwe msaada tafadhali
 
Binafsi mmi hao siwajui ila swala la kuambiwa utume mkwanja asee hapo chezea kimakini sana.Ukishatuma ndo imetoka hiyo!!
 
Kwa kifupi hapo unatapeliwa, hamna kazi ya kuomba kwa pesa
 
Nashindwa kuelewa mana wametaja had venue na tarehe ya interview ila usipolipa hiyo pesa umejitoa mwenyewe ....
 
Nashindwa kuelewa mana wametaja had venue na tarehe ya interview ila usipolipa hiyo pesa umejitoa mwenyewe ....
huo ni uzushi bado unaendelea kuwaamini tu?? tuma uliee.mimi walimliza mdogo wangu juzi juzi tu hapa 150000 eti za uniform na usajiri.hakuna interview ya kazi yenye kulipiaa kijana fungua ubongo wako
 
Ahahahahaha matapeli hao mwenyew wameniita kwenye usaili nikawapigia simu inaita tu wala hawapokei wezi hao kaa mbali sana
 
Back
Top Bottom