Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Thanks brotherMkuu jaribu kupitia ofisi za TBS.
Unafikiria na hiyo assholeMtafute Dr Shika atakusaidia.
Umenitukana na ile thread yako imefutwaUnafikiria na hiyo asshole
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
Ukiacha Japan, UK, Dubai na HongKong, hawa Singapore ni among exporters wakubwa wa magari (ukiacha na bidhaa zingine) to Tanzania.Why Singapore?? Au uliamua tu kuwa tofauti na watanzania wenzako?..
Bei ilikuwa powa kabisa tofauti ilikuwa $4000 mkuuWhy Singapore?? Au uliamua tu kuwa tofauti na watanzania wenzako?..
Nenda NIT wakupe utaratibu. Kuna rafiki yangu aliagiza gari kutoka Singapore walikagua watu wa NIT.Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
You make my day mkuuUkiacha Japan, UK, Dubai na HongKong, hawa Singapore ni among exportes wakubwa wa magari (ukiacha na bidhaa zingine) to Tanzania.
God bless you braahNenda NIT wakupe utaratibu. Kuna rafiki yangu aliagiza gari kutoka Singapore walikagua watu wa NIT.
Magari ya Singapore bei nzuri na quality ya hali ya juu. Yana higher specs kuliko ya soko la Japan.You make my day mkuu
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
Yeah Mkuu,Nenda NIT wakupe utaratibu. Kuna rafiki yangu aliagiza gari kutoka Singapore walikagua watu wa NIT.