Msaada please. Nimeagiza Gari kutoka Singapore

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,109
2,752
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore.

Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.

Je, Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
 
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .

Why Singapore?? Au uliamua tu kuwa tofauti na watanzania wenzako?..
 
Ukiacha Japan, UK, Dubai na HongKong, hawa Singapore ni among exporters wakubwa wa magari (ukiacha na bidhaa zingine) to Tanzania.
 
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
Nenda NIT wakupe utaratibu. Kuna rafiki yangu aliagiza gari kutoka Singapore walikagua watu wa NIT.
 
Mkuu kama umeagiza kwa njia za mtandao tafadhali tupia nasi tuone.

Tafuta agency mzuri akuelekeze nini cha kufanya kuhusu ukaguzi
 
Nadhani NIT ndio wanakagua kwa niaba ya TBS, pita ofisi za TBS ubungo au posta watakupa maelezo kamili
 
wala hamna shida mkuu
singapore ikifika hapa wanaifanyia inspection na mambo yanaenda poa sana
 
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore .Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .

Nenda NIT wakupe utaratibu. Kuna rafiki yangu aliagiza gari kutoka Singapore walikagua watu wa NIT.
Yeah Mkuu,

http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/nit-kupima-magari-yote-yaliyoingia-nchini-bila-kukaguliwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom