Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore.
Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala wa TBS Kwa ajili ya inspection. Na meli yenyewe inaingia Dar tarehe 28 mwezi huu.
Je, Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .