msaada please na pc yangu

msaada please na pc yangu

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,835
kila programme ninayofungua inafunguka window media centre,nfanye nin tafadhali!???natanguliza shukrani!!!!!!!!!!
 
Chances ni kwamba hao ni virus.Kwa hiyo unamaanisha nothing is going on than wmc opening?Unaweza kuperform full system scan? Ama nayo haifunguki? Kama ndivyo hebu jaribu kuwasha in safe mode then uscan computer yote tuone kwanza.
 
Nenda kwenye file la window fungua window media centre futa file hilo lote nakisha zima uwashe upya itakua poa
 
Back
Top Bottom