people citizens
Member
- Feb 16, 2019
- 75
- 53
Je naweza kupata passport ya kitanzania nikiwa inje ya inchi nikafanya process zote nikiwa inje ya nchi bila kutumia jia ya embassy tafadhal kama uwezekano upo kuna zawad zipo kwa ajili Akoo naomba msaada tafadhal ukiwa na ujuz zawad ni 100 USD Stak kutumia jia ya embassy kwasababu ya sina tz document mahana mm nimezaliwa inje ya tz