MSAADA Please! Comparison kati ya IPAD na ASUS tablet computer

MSAADA Please! Comparison kati ya IPAD na ASUS tablet computer

Na hata hapa sijasikia mtu hata mmoja anyesema yeye anatumia ASUS! Watu kadhaa wanaotumia Ipad wametupa uzoefu wao
 
hebu tuwekee hapa some specs za ASUS

[h=1]Eee Pad MeMO 171[/h][h=2]A Pad you need is also a Phone Indeed[/h]
  • Bundled MeMIC* Bluetooth headset provides an integrated experience with the MeMO. It's super convenient for placing calls, sending texts, and listening to music.
  • Integrated stylus for easy access to writing and painting.
  • Brilliant Super IPS+ Panel with 178° wide viewing angle.
  • Mobile phone with Android™ 3.2 OS (Upgradable to Android™ 4.0).
  • MyPainter to create images and record experiences.
  • SuperNotefor creating notes with pictures, videos, maps, and voice recordings.
P_500.jpg

 
Kwa hapa bongo ipad ya Wi-Fi peke yake na Wi-Fi +4G nzuri ni ipi??
 
Nenda ASUS au tablet yoyote inayotumia android ,I pad inafaa kwa walio majuu,kwani apps zake nyingi ni za kununua ilihali android ni buuure,hata simu zitumiazo android ndio naona zinachukua chat kwa hapa bongo kwani zina vikorombwezo vingi ambavyo hupata bure tofauti na hizo Iphone,haya ni maoni yangu

Mfia nchi umeonaje maelezo yaliyotewa na wakuu wengine hapa!
 
iPad 3 ni nzuri mkubwa, ndio maana iPad zinatumiwa sehemu nyingi ikiwemo maofisini, kwenye mikutano, vyombo vya habari na hata bungeni hiyo yote kwasababu ya uwezo wake na stability & reliability ya operating system (IOS). IOS ni nzuri kwa performance na ndio inayoongoza kuwa stable, applications haziCrash ovyo kama kwenye Android. Na pia swala la applications zake kuuzwa hiyo sio ishu kwasababu kuna kitu kinaitwa (JAILBREAK), ni njia inayotumika kupata Applications zinazouzwa kwenye store (BURE). Mimi natumia iPad mda mrefu na nilishasahau kama applications zake zinauzwa kwani nikihitaji tu, nazidownload freely anytym, na kuJailbreak imerahisishwa zaidi, just a few clicks and your done! Kama alivyokwishasema mkuu "Leh" hapo, iPad ndio kila kitu kwa ubora, utendaji etc...!

Wi-Fi na Wi-Fi+4G kwa Tanzania nzuri ni ipi
 
hivi jaman hizo apps za kudownload (kwa kubuy) ni kama zipi wakati wamekuwekea pale tayari? Au ni games? Au vitabu? ZINA ULAZIMA AU UMUHIMU GANI?

Mkuu kwa swali hili, bora nenda kwenye kitu rahisi kwako kwenye ipad au tab. kuna apps zilizokuja na machine na zingine nyingi kutokana na matumizi yako wewe, games ni part ya hizo lkn kuna nyingi mno.kama zinazokuja na machine zinakutosha huitaji ipad, nikuambie tu kadri unavyoitumia na kuwaza kitu ambacho kita fanya maisha yako yawe simple unaitaji apps ambazo zimo either za kununua au free lkn zote lazima udownload.
 
Soki sio kwamba application zote zinauzwa, NO, zipo Top Free Top Paid hata kwenye Android Market applications zinauzwa vilevile, ni kwamba unaezakuta application flani zinauzwa kwenye Apple Store ila kwenye Android Market ni free, na vilevile kwenye Android Market zinauzwa wakati Apple Store ni free. Na Applications nyingi nzuri zinazouzwa kwenye Apple Store ni Games ila iPad yenyewe kama ilivyo inajitosheleza sana tu,,sio lazima kulipia Applications kama matumizi yako ni ya ofisini inajitosheleza sana, na kama utahitaji Games na Applications zingine zinazouzwa basi unachofanya ni kuJailbreak iPad yako na utapata hizo Applications Bure!

Mwalimu mzuri sana,

Mfano mzuri Android market whatsup ni bure while apple store wanauza. unajua watu wengi wanaogopa apple products kwa viprocess vyake kabla ya mtumizi na sana sana kucreate apple ID bila kutumia credit card.lkn mkuu apple products kiboko toka uimara na kila kitu, nimetumia android ya Samsung inachanganyikiwa sana.
 
Wi-Fi na Wi-Fi+4G kwa Tanzania nzuri ni ipi

Yenye Wi-Fi pekee utalazimiaka kutumia net sehem zenye Wi-Fi peke yake, au la utalazimika kununua Mobile Wi-Fi, Lakn yenge 4g Utatumia line za kawaida kukamata 3g kama unavofanya kwenye simu yako yamkononi! Japo iPad zenye 4g ni ghali kuliko zenye Wi-Fi pekee lakini inalipa!
 
kwa sababu ukishanunua application fulani once huhangaiki kununua tena, then ni juu ya mtu kuangalia anahitaji apps zipi kutokana na matumizi yake then anabuy halafu the unaenjoy!

Kwakweli hapa nimepata darasa zuri sana na nadhani watu wataendelea kutoa michango yao na EXPERIECES zao.
 
Hapo juu naona Ipad haina JAVA tofauti na ASUS!
 
Pia ASUS hapo kwenye DATA hawana GPRS wala EDGE nk (katika comparison ya post ya juu hapo)
 
Yenye Wi-Fi pekee utalazimiaka kutumia net sehem zenye Wi-Fi peke yake, au la utalazimika kununua Mobile Wi-Fi, Lakn yenge 4g Utatumia line za kawaida kukamata 3g kama unavofanya kwenye simu yako yamkononi! Japo iPad zenye 4g ni ghali kuliko zenye Wi-Fi pekee lakini inalipa!

Ni kweli. Zina tofauti ya karibu $140
 
I love androids kwakweli, apple wana ukiritimba kiasi flani kwa applications zao, vitu vingi wanauza akini ipads huwezi kutuma texts wala calls, tofaufi na tabs za androids.
 
Wakuu mimi nipo sehemu hapa nje ya tz nimekutana na tablet ya blackberry, nataka ninunue. Mnaizungumziaje hii technically.

Swali lingine:
Hivi nikiwa na iphone naweza nikahitaji ipad kweli...I mean, kama nina smart phone kuna umuhimu wa kuwa na tablet?
 
I love androids kwakweli, apple wana ukiritimba kiasi flani kwa applications zao, nadhani wako kibiashara zaidi, vitu vingi wanauza lakini ipads huwezi kutuma texts wala calls, tofaufi na tabs za androids. (Nilishaandka sababu hapo nadhani hukuona)
 
Wakuu mimi nipo sehemu hapa nje ya tz nimekutana na tablet ya blackberry, nataka ninunue. Mnaizungumziaje hii technically.

Swali lingine:
Hivi nikiwa na iphone naweza nikahitaji ipad kweli...I mean, kama nina smart phone kuna umuhimu wa kuwa na tablet?

Angalia mahitajii yako kaka, usiende kwa mkumbo, labda kama unazo pesa nyingi. Wengine wanahtaj zote, Smartphone, Tablet, Laptop, Desktop na kila moja ina umuhimu wake na wakati wake wa kutumia,
 
Back
Top Bottom