Msaada: PC (Laptop) yangu ina display black(giza) ilhali inaoperate

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
766
1,292
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.

Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama kawaida.

Tusaidiane buana.
(Sharing is caring).
 
Jaribu kutumia monitor ya nje,

Kama itakubali Tatizo ni display ya laptop
Ikikataa ina maana tatizo ni jengine linalohusiana na graphics.
 
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.

Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama kawaida.

Tusaidiane buana.
(Sharing is caring).
Ili kujua kama shida ni kioo tumia kioo cha nje,nikimaanisha monitor angalia laptop yako kama inasupport VGA au HDMI cable unga kwenye monitor husika,ikionyesha vizuri means kioo chako kibovu au mkanda wa kioo unazingua isipoonyesha change Ram au kama ni fundi pasha VGA card
 
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.

Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama kawaida.

Tusaidiane buana.
(Sharing is caring).
Ukifatilia utagundua ilo tatizo linatokea every after a certain time. Kama ni hivyo then fanya yafuatayo kwa mtiririko:

Control panel > hardware and sound > power options > choose when to turn off display ----> hapo change time endapo laptop itakuwa on charge, pia endapo itakuwa on battery ( to easy things up, chagua Never au weka muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom