Msaada: PC imepoteza sauti baada ya kuzima ghafla

Msaada: PC imepoteza sauti baada ya kuzima ghafla

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,230
Reaction score
6,470
Pc yangu imezima ghafla na kujiwasha,mara tu baada ya kuwaka imepoteza sauti na kuweka alama X ile sehem ya kuongezea sauti,hii ni baada ya kumpa dogo atumie,then dogo alichomeka waya flan hiv wa umeme ile sehem ya kuwekea earphones,Nmejaribu kupeleka kwa mafundi wakadai ni tatizo la software so wakashusha window,ila bado tatizo halikuisha.

Je shida itakuwa ni nini wakuu??
 
pengine computer haioni hardware yoyote ya sauti, ni desktop au laptop? ukichomeka headphone husikii pia?
 
nafikiri itakuwa imepata electric shock
 
Waya wa moto kwenye port ya headphone imeunguza hiyo port. Nunua nyingine wakufungie.
 
badili window. windows zina kawaida ya kucorrupt
ukishabadili window.
don't use the same anti virus u r using.. tumia antivirus moja tu

kama ulibadil window na tatzo bado linaendelea itakua u r installin the very same driver inayosababisha hvyo. check ur drivers. fanya analysis ya drivers zako ipi uliinstal recently kabla ya tatzo kuanza. itakua hyo driver ndo inazngua
 
Thanks wakuu,let me try all alternatives
 
Back
Top Bottom