mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 956
light crick hapo kwenye desktop nenda kwenye resolution utaona advanced seeting crick kuangalua shared video
ndio inazohizo qualification walizotoa pc yako inazo mkuuu
hiv hiyo unaangaliaje mkuu
ndugu nataka kurun hii PES2016 lakini hii ya kupata licence key ndio inanisumbua nashindwa kuipata nisaidie kama inawezekanaCkia nichek kufundishe jinsi ya kufanya hapo 0653 303002
tuwasiliane mkuu nije kuchukua 0656735270Hellow faru how are you ?
Playing this game requires the below system specifications. If your hardware meets the below requirements, please install the game.
MINIMUM SYSTEM REQUIREMENTS
Recommended system specifications are shown in red.
OS: Windows 10 / 8.1 / 8 / 7 SP1 / Vista SP2
CPU: Intel Core 2 Duo @ 1.8 GHz (AMD Athlon Ⅱ X2 240 or equivalent processor)
Intel Core i3 530 (AMD Phenom Ⅱ X4 925 or equivalent processor)
RAM: 1 GB (2 GB)
nVidia GeForce 8800 / ATI Radeon X1600 / Intel HD Graphics 3000 or better
nVidia GeForce GTX 260 / ATI Radeon HD 4850 / Intel HD Graphics 4000 or better
Video RAM: 512 MB (1024 MB)
DirectX: Version 9.0c
HDD: 9 GB available space
Sound Card: DirectX 9.0c Compatible sound card
Resolution: 800 x 600 monitor resolution (1280 x 720 monitor resolution)
ODD: 4x DVD-ROM Drive (8x DVD-ROM Drive)
Network: TCP/IP 512 kbps or higher (TCP/IP 1.5 Mbps or higher)
Kama unavyo ivyo viwango kwenye pc yako nichek nikupe me ninayo iyo pes 2016
mkuu naomba msaada nimedownload game ya fifa 2006 iko katika mfumo wa rar, sasa nimeambiwa niingize password nimeshindwa, kwahiyo nimeshindwa kupata hiyo password au kama unaijua password yake naiombaCkia nichek kufundishe jinsi ya kufanya hapo 0653 303002
Rudi ulipodownload game ndio utakuta hyo password.. Hata sisi hatuijuimkuu naomba msaada nimedownload game ya fifa 2006 iko katika mfumo wa rar, sasa nimeambiwa niingize password nimeshindwa, kwahiyo nimeshindwa kupata hiyo password au kama unaijua password yake naiomba
okRudi ulipodownload game ndio utakuta hyo password.. Hata sisi hatuijui
kama unataka kucheza online nunua game, huwa game za kuchakachua hazichezi onlineWadau nacheza game ya battlefield bad company 2, ila nataka kucheza online nimeshindwa kapata zile keys z Msaada tafadhari
asante kwa kunifahamisha mkuukama unataka kucheza online nunua game, huwa game za kuchakachua hazichezi online
asante kwa kunifahamisha mkuukama unataka kucheza online nunua game, huwa game za kuchakachua hazichezi online