Msaada paypal

Msaada paypal

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
wakuu hivi hawa paypal wakisema confirmation code wanaituma wapi au mpaka niende huko.crdb ???
 
wakuu hivi hawa paypal wakisema confirmation code wanaituma wapi au mpaka niende huko.crdb ???

inatumwa kwene email. Bt ili kuilink paypal na kadi yako, itabd uendw ukajaze fomu flan hv benki, then u good to go
 
fom nishajaxa na nishakua activated..tatzo ni activation code naipata wap??
 
fom nishajaxa na nishakua activated..tatzo ni activation code naipata wap??

code huwa inatumwa kwenye namba ako. Then itakubidi ufate maelekezo ya iyo mesej kwa kulog in kwene website ya crdb upande wa security na kujaza hizo code, na kubadili pale unapotaka..
nb:wafanyakaz wa branch nyng hawana uzoefu na hii kitu.. Jiandae kuzungushwa zungushwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom