donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Nimefanikiwa kulink credt card yang na paypal. Sasa swali linakuja,pale kwenye shipping adress ivi unaweka adress yako ya posta au? Maana kwa wenzetu hususan marekani hua kuna street adress kabisa sasa mimi nakaa Goba kwa Ndambi ntafanyaje? Asanten wakuu
Naomba unijuze ulitumia CR ya bank gani?

Mkuu hongera kwa kufanikiwa kulink kadi yako. Ninaomba utufahamishe zaidi kuhusu huduma za paypal na vigezo vya kujiunga. Shukrani.
Kuna bank, kama sikosei ni Stanbink au Exim ambazo unaweza ukawa na credit card, ila minimum balance kwenye account iwe million 3. Nijuavyo mimi bank karibu zote Tanzania zina debit card na sio credit card. Labda wataalamu watujuvye.
Vyovyote sh au dola coz sh huwa wanaibadili na kuwa kwenye dolaAsante Ozzie77 nitalifanyia kazi , bado ningependa kujua je ni lazima account yako iwe na dollar au Tshs?
No paypal sio kazi yao kukupigia simu mfano kama unanunua kitu kutoka ebay au kivuko paypal kazi yao ni kuwalipa hao ebay kupitia credit card yao sasa hao ebay kazi yao ni kuufatikia mzigo wako ulipofikia na kukujulisha kupitia email,nimeitumia sana hii ebay kununulia vitu mtandaoni na software za apple kupitia paypal hao paypal huwa kuna kaasilimia kadogo sana wanakata kutokana na huduma yao,so kama uko crdb na unataka kununua vitu vya dola 500 akaunti yako isiwe chini ya laki 8 za kitanzania usiweke pesa nyingi sana kwa akaunti ya mtandao coz wajanja siku hizi ni wengi na wazungu wwenyewe nao ni wajanja sana.Shipping Address unatakiwa uweke address ambayo mzigo au barua inaweza kukufikia kwa kuletewa na hizi courier services kama DHL, TNT au EMS. Kama unafanya kazi ni vizuri kutumia anuani ya kazini kwako, na pia kuna sehemu unaweka namba yako ya simu, hivyo mzigo ukija tu wanakupigia simu ili wakupate. Maana huduma ya Paypal, unalipia hadi gharama ya kuletewa mzigo ulipo.
No paypal sio kazi yao kukupigia simu mfano kama unanunua kitu kutoka ebay au kivuko paypal kazi yao ni kuwalipa hao ebay kupitia credit card yao sasa hao ebay kazi yao ni kuufatikia mzigo wako ulipofikia na kukujulisha kupitia email,nimeitumia sana hii ebay kununulia vitu mtandaoni na software za apple kupitia paypal hao paypal huwa kuna kaasilimia kadogo sana wanakata kutokana na huduma yao,so kama uko crdb na unataka kununua vitu vya dola 500 akaunti yako isiwe chini ya laki 8 za kitanzania usiweke pesa nyingi sana kwa akaunti ya mtandao coz wajanja siku hizi ni wengi na wazungu wwenyewe nao ni wajanja sana.
Take care na online purchase itakuja kuku ingiza mkenge usio tarajia na usimuone wakumdai au kumshtaki unatakiwa kujua u fake haupo kwenye bidhaa tu hadi kwenye mitandao .kuna mtu sisi huku niliko alipata ichizi baada ya jamaa kukwapua 78mil na kumuachia 5elfu tu. So unatakiwa kuwa na uelewa wa kutosha sana kujua secure webs an unsecured webs sasa hiyo lazima uwasiliane na crdb au bank yeyote yenye hiyo service before kwani kuna form ambazo kwa mfano crdb wanakupa uijaze ili ili wakuingize huko kwenye hiyo huduma. Ila naungana na mdau omary salumu kwamba usiweke pesa nyingi katika a/c ambayo unatumia katika huduma ya online purchase watuwana hack hiyo card yako na unakombewa mkwanja woooooooote unaachiwa 5000/- kitunza a/c tu anbacho huwa hakitoki. Take care na huduma hii.
Paypal ni kitu kingine kabisa. Kuhusu kutapeliwa ni kwa kutumia njia zingine kulipa for online purchase na siyo paypal. Njia hizo ziko nyingi including Western Money Union, Moneygram nk. Tofauti wengine Paypal wana mikataba na hao unaonunua kwao. Kwa mfano ebay au amazon etc. In the event umenunua kitu say toka ebay na hakijakufikia after agreed time, paypal wanaku-refund pesa yote uliolipia.Kwa kifupi ni kwamba ukinunua kupitia PayPal hakuna swala la kupoteza fedha yako. Changamoto ni kujitaidi kununua vitu online ktk maduka yanayotumia huduma ya PayPal kwa malipo.Take care na online purchase itakuja kuku ingiza mkenge usio tarajia na usimuone wakumdai au kumshtaki unatakiwa kujua u fake haupo kwenye bidhaa tu hadi kwenye mitandao .kuna mtu sisi huku niliko alipata ichizi baada ya jamaa kukwapua 78mil na kumuachia 5elfu tu. So unatakiwa kuwa na uelewa wa kutosha sana kujua secure webs an unsecured webs sasa hiyo lazima uwasiliane na crdb au bank yeyote yenye hiyo service before kwani kuna form ambazo kwa mfano crdb wanakupa uijaze ili ili wakuingize huko kwenye hiyo huduma. Ila naungana na mdau omary salumu kwamba usiweke pesa nyingi katika a/c ambayo unatumia katika huduma ya online purchase watuwana hack hiyo card yako na unakombewa mkwanja woooooooote unaachiwa 5000/- kitunza a/c tu anbacho huwa hakitoki. Take care na huduma hii.
No paypal sio kazi yao kukupigia simu mfano kama unanunua kitu kutoka ebay au kivuko paypal kazi yao ni kuwalipa hao ebay kupitia credit card yao sasa hao ebay kazi yao ni kuufatikia mzigo wako ulipofikia na kukujulisha kupitia email,nimeitumia sana hii ebay kununulia vitu mtandaoni na software za apple kupitia paypal hao paypal huwa kuna kaasilimia kadogo sana wanakata kutokana na huduma yao,so kama uko crdb na unataka kununua vitu vya dola 500 akaunti yako isiwe chini ya laki 8 za kitanzania usiweke pesa nyingi sana kwa akaunti ya mtandao coz wajanja siku hizi ni wengi na wazungu wwenyewe nao ni wajanja sana.
habari zenu wakuu....ningependa kuweka ujuzi wangu hapa.....na pia nina maswali.....
Credit card ya exim (ambayo mie ninayo)...kuna silver (min. Balance ni 1m na unaweza kutumia hadi laki 8)...na gold (min. Balance ni 3m)....
Hiyo tembo visa card ni kutoka benki gani?...min. Balance kiasi ngapi?....
Halafu je mabenki wanaku-charge kuitumia hiyo credit card?...yaani kuna bank charges au bank commission yeyote?....