Msaada :password za IPAD zmesahaulika

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada namna ya ku secure i pad ambayo password zake zimesahaulika kwenye upande wa iClaud naomba kujulishwa namna bora ya kufanikiwa...maana siwezi kupakua chochote
Wataalam wa haya makitu nisaidieni
 
Nenda App Store chini kabisa sign out AppStore account , hii huhutaji password , baada ya hapo weka iCloud account nyingine then download unachotaka..

Note: hapa hujatoa iCloud au kubadili password ya iCloud bali ume change account ya kununulia apps kwenye store
 
Nimewaza ku fanya reset all ili nisajili kila kitu upya vipi hii imekaaje?
 
Nenda App Store chini kabisa sign out AppStore account , hii huhutaji password , baada ya hapo weka iCloud account nyingine then download unachotaka..

Note: hapa hujatoa iCloud au kubadili password ya iCloud bali ume change account ya kununulia apps kwenye store
Kwa ushauri huu.. Naenda kukafufua ka iPhone 4 kangu.. Shukrani Mkuu.
 
Ukigusa reset na hauna Apple ID basi simu utaiuza kama spea, usijribu we endelea na utaratibu wa hapo juu niliokupa
Hii ipad mkuu sijaona hiyo sehemu uliyonielekeza nikipress Appstore zinakujaga zile Apps so sioni kaka
 
Back
Top Bottom