wanajf naombeni msaada na ushauri wenu plz,mimi nimemaliza elimu ya chuo kikuu,nimekua niki2ma applications zangu sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi za kidini,na nimeamza kuaply toka mwezi wa saba mwaka huu.Mungu saidia nimeshaitwa kwenye taasisi za kidini (wasabato)kufanya intavyu kila nifikapo nafaulu intavyu zao lakini ajira nakosa kutokana na madai yao kuwa mimi si msabato! (kazi ninayotafuta ni kufundisha) jana nikapigiwa simu tena nifike leo kwenye intavyu ktk shule moja ya kisabato,nikataka nisiende lakini rafk yangu akanisihi niende.ukweli nimekuta mwl.wa masomo wanaemtaka ndo masomo yangu,nikafanya intavyu na kweli nikashnda ila wakanambia mi si msabato kwa hiyo ctapata kazi.nimewaeleza ukwel kua mimi sio mwl wa bible inakuaje? wakakataa nimewaomba cv zangu wanipe wakakataa,naomba ushauri wenu na msaada jamani.