Msaada OS Windows 8

Msaada OS Windows 8

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wadau habari ya leo,
Naomba msaada nimedownload windows 8 kwa u torrent sasa kwenye kuiburn inaonekana ina GB zaidi ya 5 nawezaje kuipunguza?
 
ukiona vipi usiiburn..iweke katika flash..... ukipenda unaweza ukai compress kwa kutumia winrar.. au ifanye iso file
 
Mkuu nishaicompress ikiwa ios file naweza kui run ikafanya kazi?
sidhani kama unaweza kui run...ila kwa kuihifadhi utakuwa umefanikiwa..ukitaka kui run i burn kama ilivo...katafute dvd rw 5gb uitupie humo
 
Tafuta DVD yenye uwezo wa kuingiza ukubwa huo.
 
windows 8 64 bit ni around 3gb na 32bit ni around 2.4gb jumla ndo zinakuja hizo 5gb.

hauhitaji kuinstall zote kwa pamoja unachohitaji ni kujua aina ya processor yako na uinstall version husika. kujua aina ya processor nenda mycomputer then properties.
 
Kanunue mpya au kama vp toa contract InfraTell Technology na tuta hakikisha Tatizo lime kwisha maana wa wengi hukwepa gharama na ndio maana online ikawekwa 5gb wakimanisha aliye kuwa na original windo 7 aweze ku up2date na asiye kuwa nayo akanunue mzee rahisi ina matatizo yake na Gharama ina raha yake kama umeweza nunua Device usiogope kununua Os mpya kwa mawakala wa microsoft
 
Wadau habari ya leo,
Naomba msaada nimedownload windows 8 kwa u torrent sasa kwenye kuiburn inaonekana ina GB zaidi ya 5 nawezaje kuipunguza?

Hapo kuna option mbili

1 kanunue dvd yenye 8gb!!! Zpo madukani kuanzia buku mbili

2 iache hiyo iso katika pc!! Ila ukitaka kuinstall window uwe unatafuta flash ya 8gb then unai extract kwenye usb kwakutumia winrar, winzip au 7zip !!! Ila mm huwa na recomend utumie hiki ki program!! Kina mb 5 tu ila kina extract os kwenye usb moja kwa moja na ni Rahisi kutumiaaaaaa download Hapa chini

Universal USB Installer – Easy as 1 2 3 | USB Pen Drive Linux
 
Nashukuru kwa maelekezo ngoja nifanyie kazi
 
  • Kam alivyoshauri nurbert , Napendekeza tumia njia #2 .
  • Kwa upande wa software mimi huwa natumia hii hapa, ni nzuli zaidi.
    Code:
    [URL="http://joshcellsoftwares.com/products/winusbmaker/"]WinUSB Maker – The Windows Setup to USB Solution[/URL]
WinUSBv2.png​
New Features:

  • Without any OS File Modifications – Your OS is cleanly transfered to a USB device.
  • USB OS Transfer is compatible with Windows XP / Vista / Server / 7 / 8.
  • Low memory and CPU usage for a fast OS Transfer.
  • Metro-UI Based, compatible with Windows XP.
  • Compatible with all Microsoft OS with .NET Framework v4.0.
  • Backup and Restore is compatible only with the same device.
  • MSDOS and GRLDR (Grub4DOS) compatible transfers.
 
  • Kam alivyoshauri nurbert , Napendekeza tumia njia #2 .
  • Kwa upande wa software mimi huwa natumia hii hapa, ni nzuli zaidi.
    Code:
    [URL="http://joshcellsoftwares.com/products/winusbmaker/"]WinUSB Maker – The Windows Setup to USB Solution[/URL]
[/LIST]

Mkuu nimetumia hiyo software nikaweka flash disc ya 8GB naambiwa file is too lager for the destination folder
 
Kanunue mpya au kama vp toa contract InfraTell Technology na tuta hakikisha Tatizo lime kwisha maana wa wengi hukwepa gharama na ndio maana online ikawekwa 5gb wakimanisha aliye kuwa na original windo 7 aweze ku up2date na asiye kuwa nayo akanunue mzee rahisi ina matatizo yake na Gharama ina raha yake kama umeweza nunua Device usiogope kununua Os mpya kwa mawakala wa microsoft

Nashukuru kwa ushauri ila unapaswa kujua kila jambo lina sababu zake na kama hilo ndilo suluhisho pekee kusingekuwa na hizi software ila zipo ili kupunguza gharama zisizo za lazima kwa sababu kuna watu wanakuwa wachoyo wa teknolojia bila sababu za msingi
 
Mkuu nimetumia hiyo software nikaweka flash disc ya 8GB naambiwa file is too lager for the destination folder

Umejaribu hiyo yangu? Hiyo ni competitable na os zote znazotambulika !!!
 
Mkuu nimetumia hiyo software nikaweka flash disc ya 8GB naambiwa file is too lager for the destination folder
  • Sorry kitu kimoja kimoja kimesahaulika, bootable usb lazima kwanza ui_format katika file system ya NTFS
  • Umepata hiyo mesage kwa sababu hiyo flash ipo katika FAT file system ambayo ni default kwa flash.
So chakufanya Right click flash --> Format ---> File system weka NTFS kisha endela na hiyo software. Tazama picha.
Na kimsingi kwa windows 7, na 8 waweza just copy files na kuziweka katika flash na ika_boot siyo lazima kutumia hizi software. NB: Baadhi ya flash ambazo huwezi kuformat katika NTFS file system huwa hazifai, mfano baadhi ya ADATA flash huwa zina hili tatizo.
8-30-2013 3-07-19 PM1.png
8-30-2013 3-10-04 PM2.png​
Karibu
 
mkuu nimetumia hiyo software nikaweka flash disc ya 8gb naambiwa file is too lager for the destination folder

mkuu mimi nipo nje ya topic..... Hivi hili tatizo la window 8 pro kuleta message hii "system thread exception not handled"........... Na inadisplay blue screen whay inakuwa hivyo mimi imenichosha .....
 
Kuna DVD DL zina uwezo wa kubeba ~9GB au Blu-Ray hii inabeba hadi 25GB.
 
mkuu mimi nipo nje ya topic..... Hivi hili tatizo la window 8 pro kuleta message hii "system thread exception not handled"........... Na inadisplay blue screen whay inakuwa hivyo mimi imenichosha .....
Tatizo ni display driver haziendani na system. Uninstall display driver au fuata maelekezo marefu hapa chini "How Can I Fix"
 
nyie mnahangaika sana hamna windows yenye gb5 mwenzenu anahangaika kuburn os mbili 32bit na 64bit kwa pamoja
 
nyie mnahangaika sana hamna windows yenye gb5 mwenzenu anahangaika kuburn os mbili 32bit na 64bit kwa pamoja

Yaaap mkuu naelewa hii!! Pia nliwah download kutoka torents ina version tofaut ndan piaaa
 
Back
Top Bottom