Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,505
- 32,216
Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya kuunda software ambayo itafanya kile kile inachofanya voiceq lakini kwa ngazi ya kuandaa files za script, kurekodi, kuedit, kumix na kumaster sauti. Nimefika pazuri hapa chini ni screenshot ya mwonekano wake kutoka Visual studio.
Hii itakuwa inarun kwenye windows na ikiwa tayari kabisa nitashare version inayoexpire watu waweze kuijaribu.
Pia kwa watu wanaotrade binary options niko najaribu kuunda BOT la signals. Ninapply stratergy mbalimbali lakini bado sijaweza kufikia win rate nzuri.
How the bots works: Server inapokea live data from MT4 kwa pair kama 8, hivyo kila dakika inapokea mamia ya data za paiirs tofauti. Inazicompare hizo data kuendana na vigezo vilivyoweka. Kama kuna pair ina meet criteria inapush notification kwenye app ya simu ikitaja ni pair gani utrade, kwa muda gani (1,2,3, 4 or 5 minutes) na kama ubuy au usell. notification inakuja na a minute countdown kabla ya kuingia.
Screenshot ya server ikiwa iinapokea data kutoka MT4
Picha ya Android app ikisubiri signal.
Pia unaweza download Appstore yangu ya android kupata apps zangu nyingine nilizounda hapa:
betadrop.app

BetaDrop — Beta Testing & App Distribution for iOS & Android
BetaDrop is a freemium service to distribute iOS and Android beta apps: upload an .ipa or .apk from the web, CLI, CI or an AI agent and hand testers an OTA install link.