Msaada OS Windows 8

Msaada OS Windows 8

nyie mnahangaika sana hamna windows yenye gb5 mwenzenu anahangaika kuburn os mbili 32bit na 64bit kwa pamoja
Unafikiri hatujui ila tunajaribu kumsaidia kutokana na situation yake, humu ndani si kila mtu anajua anachofanya ndo maana kuna maswali mengi ya ajabu. Hizo Torrent zipo zenye 5GB+ ila namna ya kuzitumia ndo unatakiwa uwe mtundu kidogo.
 
Back
Top Bottom