Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

Mkuu contemporary kabla hujaijenga ilibidi uangalie site yako kama inareceive high rainfall maana itakusumbua sana hizi ni kwa ajili ya sehemu yenye mvua chache pia mafundi wanaoziwezea wako wachache sana inabidi hapo utafute fundi expert sio kila fundi anaweza kuzijenga
Point of correction contemporary sio Kwa ajili ya sehemu yenye mvua chache ni utaalamu mbovu wa kujenga
 
Usiseme fuata mkumbo..kwani kitu kizuri si kinaonekana asa wewe utakalia design ya zamani kisa kuna changamoto kwenye design mpyaa..hakuna changamoto isiyotatulika kwenye ujenzi,acha uoga!
Aah bana eeh utajijua mwenyewe bana
 
Asili ya nyumba hizi ni kutoka msumbiji na ndio maana zikaitwa msumbini style, kwa kifupi tu hali ya hewa ya msumbiji kwa mwaka upokea mvua za wastani tena hunyesha kwa vipindi ndani ya msimu hivyo basi kwa mfumo wa nyumba hizi kwa maeneo kama hayo yenye mvua chache huwa hazina shuda sana ya kuvuja.

Kinachotuponza sisi wabongo ninkupenda vya nafuu na hii nikutokana uchache wa bati na mbao zinazotumika katika kujenga nyumba hizo ili hali kwa nature ya mvua za Tanzania ni majanga kwa nyumba hizi.

Kwani haziwezi kuhimili kiwango cha maji mengi kitokana na ufinyu wa slope yake na na jinsi zinavyojengwa kwa aina ya mtindo wake wa kupenyeza bati kwenye ukuta.
 
ujenzi wa hizi nyumba umeingiliwa .mafundi wengi wanaojenga hawafuati kanuni za ujenzi wa nyumba hizi. wengi wameparamia wakidhani zina unafuu. lakini kiukweli km umefuata Masharti yake ya ujenzi hizi nyumba ni ghali kidogo kuliko hizi nyumba za kawaida.
 
Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu.

Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati.

Afanyeje ili isivuje?

N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
Contemporary nadhani mafundi wetu hapa bongo hawana utaalamu sana kwenye kuezeka, kuna fundi alitujengea tulimtoa Msumbiji, ana utaalamu wa hali ya juu na anasema alijifunzia kuzijenga South Africa, ni miaka zaidi ya sita tangu atujengee nyumba haijawahi kuvuja wala hatujawahi kukutana na hiyo kero

Cha msingi mtafute fundi mwenye utaalamu akusaidie kurekebisha
 
Mkuu nitafutie huyu fungi.
 
Mkuu nitafutie huyu fungi.
Alisharudi msumbiji lakini nadhani makazi yake ni South Africa, hapa bongo alipata tenda ya kujenga nyumba ya tajiri mmoja alipomaliza tukamdaka akatujengea, kwa hiyo tulipomaliza nae contract aliondoka, ukitaka unaweza kumpata lakini gharama ya kumtoa kule ni kubwa tofauti na sisi tulimdaka akiwa hapahapa bongo
 
Asili ya nyumba hizi ni kutoka msumbiji na ndio maana zikaitwa msumbini style, kwa kifupi tu hali ya hewa ya msumbiji kwa mwaka upokea mvua za wastani tena hunyesha kwa vipindi ndani ya msimu hivyo basi kwa mfumo wa nyumba hizi kwa maeneo kama hayo yenye mvua chache huwa hazina shuda sana ya kuvuja.

Kinachotuponza sisi wabongo ninkupenda vya nafuu na hii nikutokana uchache wa bati na mbao zinazotumika katika kujenga nyumba hizo ili hali kwa nature ya mvua za Tanzania ni majanga kwa nyumba hizi.

Kwani haziwezi kuhimili kiwango cha maji mengi kitokana na ufinyu wa slope yake na na jinsi zinavyojengwa kwa aina ya mtindo wake wa kupenyeza bati kwenye ukuta.
Asili ya hizi nyumba sio msumbiji, kwahiyo asia, europe, na usa wameiga msumbiji?
 
Back
Top Bottom