MSAADA: Nyoka ameingia ndani kwangu

MSAADA: Nyoka ameingia ndani kwangu

Nenda mtafute ndani umuangalie maumbile yake kama analichwa cha pembe tatu ua kwa sababu atakuwa na sumu na kama kichwa chake si pembe tatu mkamate kichwani kisha kamtupe mbali usiue maana hao mara nyingi ni malaika wa bwana
 
Nenda mtafute ndani umuangalie maumbile yake kama analichwa cha pembe tatu ua kwa sababu atakuwa na sumu na kama kichwa chake si pembe tatu mkamate kichwani kisha kamtupe mbali usiue maana hao mara nyingi ni malaika wa bwana
 
umetolea wapi mda wa kutype kama kweli upo kwenye hatari?
endelea kutuigizia tuu siku aingie kweli
 
Nyumba yako kubwa kiasi hicho hadi umeona uache kumtafuta Nyoka na mke na watoto wako wamo humo ndani ukakimbilia humu. Siku nyingine uje na Story ya nimemuua Nyoka aliyeingia ndani kwangu nikawaokoa mke na mtoto wangu.
 
Mkuu kama huyo nyoka bado hajatoka kumladhi usimuuwe...Viumbe wa mwituni hawana tabia ya kumdhuru mtu kama hajachokozwa.Funga mlango ingia chumbani ukalale.
 
Yaani it doesnt make sense anakaa sehem anatype nyoka yumo ndani huyu ni mwanaume na kichwa cha familia aisee alichopaswa kufanya angetafta namna ya kumkabili nyoka akishamuua aaandike tu kama maelezo na jinsi alivyoweza kua shujaa kunusur familia
Wa Daslamu mama.

Nyoka tu ameshamfungulia sredi
 
Inaweza pia ikawa mazingara hayo. Pamoja na kufanya hayo mengine, kama ni Mkristo, vunja kila roho na mashambulizi yeyote kwa jina la Yesu. Kama huwezi ita majirani pia wanaloamini Jina la Yesu
Hii ni ushauri Wa kufeli kabisa,nadhani huyo nyoka atatoka aache mji Wa watu kwa maombi mazito.
 
ingia kalale weka neti vizuri kesho mwanga ukiwepo tafuta vijana wa msaada anzisha varangati la kumtoa humo.
usipombughudhi hata ukilala nyoka huwa hana shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom