Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ujinga tu hajui kuwa tuna kumbukumbuKhaaaa sasa anamdang'anya naniiii na wakati tupo na I'd fake

vip nyoka wa jana mlimalizanaje mkuu?Wakuu leo yamenikuta!
Nimetoka nje mara moja kwenda kufunga vioo vya gari vizuri ile nataka nirudi mlangoni kwangu niingie ndani naona joka kubwa refuu linapotelea ndani kwangu.
Na kupo giza ndani na nyumba ina rooms 3 store na jiko.Ameingilia mlango wa jikoni.
Nifanyeje maana wife yupo chumbani na mtoto na wameshalala.
Naombeni ushauri.
Kawa marehemuvip nyoka wa jana mlimalizanaje mkuu?
Mtoe mke na mtoto nje..uichome nyumba moto kumkomoa huyo nyoka maana anajiona mjanja sana

Ndo li wewe sasautashangaa jitu linakuja "linasema wanaume wa dar ndo zenu hizo hata kinyoka kisicho na sumu mnaogopa"

Wakuu leo yamenikuta!
Nimetoka nje mara moja kwenda kufunga vioo vya gari vizuri ile nataka nirudi mlangoni kwangu niingie ndani naona joka kubwa refuu linapotelea ndani kwangu.
Na kupo giza ndani na nyumba ina rooms 3 store na jiko.Ameingilia mlango wa jikoni.
Nifanyeje maana wife yupo chumbani na mtoto na wameshalala.
Naombeni ushauri.
Mpuuzi wewe, jf ifanyeje na huyo nyokaWakuu leo yamenikuta!