Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Mtoe mke na mtoto nje..uichome nyumba moto kumkomoa huyo nyoka maana anajiona mjanja sana
Mtoe mke na mtoto nje..uichome nyumba moto kumkomoa huyo nyoka maana anajiona mjanja sana

Mtoe mke na mtoto nje..uichome nyumba moto kumkomoa huyo nyoka maana anajiona mjanja sana

Huyu ni mwongoEbu tafuta wanaume wenzio mmwage mafuta ya taa mkuu kama nakuona ulipo kiumbe nakiogopa hiko Mungu akusaidie
Hahahahah, umenchekeshaMkamate kamtupe mbali acheni kuua ua viumbe ovyo !wakiisha hao kutakuwa na mfumuko wa panya mpaka tuchanganyikiwe .
Paka sikuhz wanakula chips yai nyoka wanajitahida kugonga msosi wa panya nahisi nyoka wote wana asili ya umakonde
Hahahaha we jamaa funga kazi,,,huu ushauri wako unastahili tuzo za grammyMtoe mke na mtoto nje..uichome nyumba moto kumkomoa huyo nyoka maana anajiona mjanja sana
Huyo jamaa mpuuzi kweli imebidi nichekeHahahaha we jamaa funga kazi,,,huu ushauri wako unastahili tuzo za grammy

Hahaaa jamanWa Daslamu mama.
Nyoka tu ameshamfungulia sredi
Acha uongo, kweli unaogopa NYOKA wewe au mi ndo sijaelewaEbu tafuta wanaume wenzio mmwage mafuta ya taa mkuu kama nakuona ulipo kiumbe nakiogopa hiko Mungu akusaidie

Hahahahahah kweli wewe ni cash madame.Hahahaha kweli wewe Ni kichwa kichafu
Hio nimeshuhudia mjini paka na panya wako bize na makombo jalalani kila mmoja hana time na mwenzake,paka wamebaki kijijini sio mapaka sharobaro wa mjiniMkamate kamtupe mbali acheni kuua ua viumbe ovyo !wakiisha hao kutakuwa na mfumuko wa panya mpaka tuchanganyikiwe .
Paka sikuhz wanakula chips yai nyoka wanajitahida kugonga msosi wa panya nahisi nyoka wote wana asili ya umakonde
I beg to differ.Yaani it doesnt make sense anakaa sehem anatype nyoka yumo ndani huyu ni mwanaume na kichwa cha familia aisee alichopaswa kufanya angetafta namna ya kumkabili nyoka akishamuua aaandike tu kama maelezo na jinsi alivyoweza kua shujaa kunusur familia