MSAADA: Nokia E72, anayejua naomba anisaidie

katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
Wakuu , hapo awari nilikuwa natumia simu ya NOKIA 2700classic. Lakini wiki tatu zilizo pita kuna mama nimebadilishana nae , yeye amenipa simu ya NOKIA E72 original. Sasa kwenye hii simu E72 nikienda kwenye camera inagoma na inarudi kwenye MENU. Wakuu tatizo litakuwa ninini? Na je inaweza kurekebishika ? , WAKUU anayejua anisaidie tafadhali
 
Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
250
jaribu kuformat *#7370# ,warning itafuta kila kitu kwenye simu,hamisha data kwenye memory card first.
 
Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
250
bonyeza hiyo namba *#7370# kama ilivyo, simu ittakueleza uweke security code,huwa ni 12345 kama haijabadilishwa, itajizima na kuwaka itajirudisha kama ilivyokuwa wakati imenunuliwa. Ni njia ya kuformat simu za nokia,
 
mnogapavanu

Member
Dec 4, 2012
81
125
Simu hiyo Nokia E 72 ni nzuri sana.Tatizo hapo itakuwa settings za kusevu data itakuwa imesetiwa kuhifadhi kwenye simu badala ya memory card au uibadirishe memory card itakuwa mbovu.Pole sana best.
 
katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
bonyeza hiyo namba *#7370# kama ilivyo, simu ittakueleza uweke security code,huwa ni 12345 kama haijabadilishwa, itajizima na kuwaka itajirudisha kama ilivyokuwa wakati imenunuliwa. Ni njia ya kuformat simu za nokia,

Mkuu nimeformat kama ulivyo sema, ila tatizo bado lipo pale pale. nikiingia kwenye kamera inagoma, na kurudi kwenye MENU. Kuformat niliiformat mchana wa leo, Ila leo asubuhi kabla sijaiformat niliishtukia FLASH CAMERA imejiwasha yenyewe. Nikabonyeza kila batan hai
kuzimika hadi nikatoa betri ndo ikazima. MSAADA JAMANI
 
Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
250
mi natumia hiyo hiyo e72, kitufe cha space kinatumika kuwasha flash kama tochi na kuzima.kuwasha unahold space bar mpaka iwake,ila lazma uwe kwenye page ya mbele ya simu inyokuwepo kama vile ukiwasha simu ikawaka. Pengine labda hiyo operating system yake ina shida,njia nyingine naona ni kuiflash kabisa kwa fundi.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,159
2,000
hio sio shida ya software niliwahi letewa simu kama hio nilijaribu njia zote hadi ku update firmware lakini tatizo halikuondoka possibly camera imejidisplace nenda kwa fundi
 
tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
195
angalia vzur c ajab camera wahun washatoa...maana yngu nayo ilakua hvyo hvyo kumbe lens imetolewa na mafund
 
nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,889
1,500
Wakuu , hapo awari nilikuwa natumia simu ya NOKIA 2700classic. Lakini wiki tatu zilizo pita kuna mama nimebadilishana nae , yeye amenipa simu ya NOKIA E72 original. Sasa kwenye hii simu E72 nikienda kwenye camera inagoma na inarudi kwenye MENU. Wakuu tatizo litakuwa ninini? Na je inaweza kurekebishika ? , WAKUU anayejua anisaidie tafadhali
cjui kwa nn ila nmeona e72 3 znazngua sehem ya camera... Mayb jarbu kufanya hardware restoring ... Pha *#7370#
 
tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,856
1,195
mi natumia hiyo hiyo e72, kitufe cha space kinatumika kuwasha flash kama tochi na kuzima.kuwasha unahold space bar mpaka iwake,ila lazma uwe kwenye page ya mbele ya simu inyokuwepo kama vile ukiwasha simu ikawaka. Pengine labda hiyo operating system yake ina shida,njia nyingine naona ni kuiflash kabisa kwa fundi.

mkuu hapo umenipa msaada kwenye flash thanx alot
 
katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
hio sio shida ya software niliwahi letewa simu kama hio nilijaribu njia zote hadi ku update firmware lakini tatizo halikuondoka possibly camera imejidisplace nenda kwa fundi
Mkuu ningeshukuru kama ungenipa jina la fundi ambaye ataweza kunisaidia, maana nimeshapeleka kwa mafundi zaidi ya wawili wameshindwa.
 
katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
wakuu nashuru sasa hivi tayari camera inafanya kazi. Ila nimeangaika sana, maana mafundi kadhaa walishindwa. Yaani fundi mwingine ile unamwambia tu tatzo la simu, hapo hapo anakwambia mi siwezi. kumbe jamani tatizo lilikuwa kamera imekufa, hivyo kuna fundi nilipo tu simu hapo hapo akaichomoa kamera akaweka nyingine na ikawa ina fanya kazi vizuri kabisa.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,159
2,000
wakuu nashuru sasa hivi tayari camera inafanya kazi. Ila nimeangaika sana, maana mafundi kadhaa walishindwa. Yaani fundi mwingine ile unamwambia tu tatzo la simu, hapo hapo anakwambia mi siwezi. kumbe jamani tatizo lilikuwa kamera imekufa, hivyo kuna fundi nilipo tu simu hapo hapo akaichomoa kamera akaweka nyingine na ikawa ina fanya kazi vizuri kabisa.

na wewe tunakushukuru kwa kuleta feedback maana wengine wakifanikiwa wanasepa. Hii itasaidia na wengine
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
3,982
2,000
wakuu nashuru sasa hivi tayari camera inafanya kazi. Ila nimeangaika sana, maana mafundi kadhaa walishindwa. Yaani fundi mwingine ile unamwambia tu tatzo la simu, hapo hapo anakwambia mi siwezi. kumbe jamani tatizo lilikuwa kamera imekufa, hivyo kuna fundi nilipo tu simu hapo hapo akaichomoa kamera akaweka nyingine na ikawa ina fanya kazi vizuri kabisa.

umefanya jambo la hekima kuleta mrejesho hapa we katuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom