Habarini wapendwa.......
Nina simu aina ya Nokia C3 00.. Hii naipenda sababu inakaa na charge tofauti na smartphone nyingine nilonayo sasa hii NOKIA C3 00 tangu jana siielewi yaani nikienda upande wa EMAIL inajiload alaf gafla inakata na kuandika maneno yafuatayo "This service is no longer surpported this account is not accessible anymore"
Cha ajabu ukifungua kwenye Laptop iyo Email inafunguka kama kawaida na ata ukifungua kwa kutumia simu nyingine pia inafunguka kama kawaida......
Tafadhali wataalam wa hii kitu nahitaji msaada wenu maana naipenda sana hii NOKIA C3 00
Nini tatizo ndugu zanguni Au simu ishakua kimeo?