Msaada: Nna ka-iphone 3 nashindwa kutumia whatsup

Msaada: Nna ka-iphone 3 nashindwa kutumia whatsup

Ok Nenda Settings>General>About. Angalia Model No kisha bofya link chini ingize Model No itakwambia kama ni 3g au 3gs
iPhoneFrom - Where is iPhone from?

Pili kama macho yako yako powa angalia nyuma ya iphone yako chini kabisa maandishi mstari wa mwisho
Kama model number ni A1241 au A1324 basi hiyo ni 3g , na kama ni A1303 au A1325 hiyo ni 3gs
 
Mkuu unaweza fafanua BB haikubali Viber.........how? labda sijakuelewa
Yani haikubali ku instal Viber. Ndo nikasema, anapotaka kubadilisha na mtu Iphone kwa Blackberry ajue ubaya wa Blackberry haikubali ku instal/kutumia Viber, ambayo ni app nzuri kama, au labda bora zaidi ya WhatsApp, kwa sababu zaidi ya kutuma messages na picha kama WhatsApp, Viber inaweza mpaka kupiga simu, tena bure, Whatsup haina feature ya kupiga simu.

"Bure" ilivyotumika hapa inamaanisha dakika zako ama hela za vocha hazitumiki unapoongea na simu, bali kifurushi cha internet.
 
Ok Nenda Settings>General>About. Angalia Model No kisha bofya link chini ingize Model No itakwambia kama ni 3g au 3gs
iPhoneFrom - Where is iPhone from?

Pili kama macho yako yako powa angalia nyuma ya iphone yako chini kabisa maandishi mstari wa mwisho
Kama model number ni A1241 au A1324 basi hiyo ni 3g , na kama ni A1303 au A1325 hiyo ni 3gs

mkuu thank God nna macho poa,ni A1303,I guess ni 3GS, kwaio nisahau tu na je iyo viber inawezekana kweli?
 
mkuu thank God nna macho poa,ni A1303,I guess ni 3GS, kwaio nisahau tu na je iyo viber inawezekana kweli?

Ili kujiridhisha zaidi nenda kwenye kamera, kama ukikuta ipo option ya video basi ni 3gs kama hakuna ni 3g
Rudi tena Settings>General>About.kisha angalia Version ipo ngapi, hiyo ndio iOs
Baada ya hapo utajua sasa kama inatakiwa kuwa updated au vipi
 
Hilo nilisha wahi kulisoma humu jf kuna member moja alikuwa na tatizo kama hilo akajibiwa hivyo kuwa hiyo model haikubali whatsapp.Sababu sizikumbuki ila hilo la kupitwa na muda ndilo nalolikumbuka,mi nimenunua 4s inakubali.

Yaaap For Sure Haikubali... maana I Phone 3 Ina 4.2 version Ya IOS!!! whatsapp Katika IOS Inaingia Kwenye 4.5 not sure kama wameongeza Maana Last Year Hata wa Ios 3.1 walikua Wana Access ... so Hapo Mayb Mpaka Kwenye I Phone 3gs
 
mkuu ni hapa kwenye version walipo andika 4.3.5(8L1)?
hiyo ni iPhone 3GS, utahitaji kuwa na Apple ID ili kuDownload applications kwenye app store. niPM email address yako nikutengenezee Apple ID isiyotumia credit card ili uDownload application zilizo za bure tu ikiwemo Viber na Whatsapp-->(free for 1year)..kama utaweza kutengeneza mwenyewe maelezo nimeambatanisha hapo chini..
 
Attachments

Daah....! bradha nimefanikiwa,ubarikiwe na keep helping others..no matter how little it might seem to others,to me its of great importance.
you choose to help while others to mock.
stay bleesed Brakelyn
 
Last edited by a moderator:

Daah....! bradha nimefanikiwa,ubarikiwe na keep helping others..no matter how little it might seem to others,to me its of great importance.
you choose to help while others to mock.
stay bleesed Brakelyn
sawa sawa,,
 
Back
Top Bottom