msaada wataalam wa gadgets jamani!
mkuu unaweza kujua ni kwa nini haikubali?
swala la uzamani ni la kweli mkuu?
poa,mi shida yangu whatsup tu kama blackberry inakubali.
thanx mkuu,nimeshindwa kudownload kabisa,inaniambia natakiwa niwe na account,nacreate account naingiza details...then inanirudisha tena mwanzo kwenye apple account creation.kaka nmeona watu hata hawakupi msaada, so i'm here! Tuanze with the basics, unavyosema unashindwa kutumia Whatsapp je ni kua Umeshindwa kudownload app, or Umedownload app haifunguki or umedownload app imefunguka ila haifanyikazi! Uko wap hapo?
mkuu unaweza kujua ni kwa nini haikubali?
swala la uzamani ni la kweli mkuu?
msaada wataalam wa gadgets jamani!
Kama tatizo ni account nenda kwenye PC kisha fungua website ya Apple kisha jaribu ku login huko uone kama account yako ipo sawa, nahisi unaweza ukawa unakosea kuingiza detailsthanx mkuu,nimeshindwa kudownload kabisa,inaniambia natakiwa niwe na account,nacreate account naingiza details...then inanirudisha tena mwanzo kwenye apple account creation.
Mkuu mwaga maujuzi hapa jukwaani bananipm namba yako ya simu kaka
msaada wataalam wa gadgets jamani!
I have iphone and never paid a dime for buying appsYaani utazodolewa bure tu.. Whatsup Kwa iPhone huwa zinauzwa SIO bure, ndio Maana unapewa mamichakato ya kufungua account Na lazima uwe Na Visa/cc Na other banking payment as well Kama vile unavyonunua gadget Zinazouzwa Kama kawaida. Wewe nadhani Kwa Muda umekuwa ukiinjoi free gadgets..
By then wenzao wa Sumsung Na wengine wao wameshajinanga Kama paymaster Wa Gadgets direct kutoka Kwa wavumbuzi maelfu duniani, ndio Maana wateja wao wananyorodeka freely-downloads ya nagadgets mengi..But SIO Kwa iPhone, wao ni Nipe-nikupe..
blackberry inakubali Whatsup, lakini just so you know kabla hujabadilishana na Blackberry, Blackberry haikubali Viber, which can be just as useful, if not better, kwa sababu inapiga simu bure, whatsup haipigi simu.("Bure" ilivyotumika hapa inamaanisha dakika zako za vocha haziliwi, bali kifurushi cha internet. )
mi shida yangu whatsup tu kama blackberry inakubali.
Mkuu unaweza fafanua BB haikubali Viber.........how? labda sijakuelewablackberry inakubali Whatsup, lakini just so you know kabla hujabadilishana na Blackberry, Blackberry haikubali Viber, which can be just as useful, if not better, kwa sababu inapiga simu bure, whatsup haipigi simu.("Bure" ilivyotumika hapa inamaanisha dakika zako za vocha haziliwi, bali kifurushi cha internet. )
very educative,nawashukuru wote kwa kunielimisha,kuna mtu kaniambia eti ni 3g ila I cant tell