Sio kwa kuongeza urefuBut anything is possible kwenye dunia hii
Ufupi umezidi aiseeKweli tumetofautiana, wakat nipo primary skool...nlikuwa nauchukia urefu sabab walikuwa wananitania sana kwa urefu wangu, nlitaman kuwa mfupi na ckupenda vle nlivo. Lakin baada ya kujitambua na kujua kwamba urefu ni swagg tosha nkawa na aman sana nkitembea kitaan. Jikubali tu mkuu mana hakuna namna ya kuongezeka apo ulivo. BTW ufupi sio ulemavu.
Nina futi 4 na nusu,lengo inshaalah nifike 6[/QUOTE
kaka huwezi badilishwa ulivyoumbwa
Jiunge kwanza alafu mwenyekiti atakusaidiaChaputa itasaidiaje?