Msaada: Njia rahisi/mbadala ya kupunguza HCG level

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Habarini wakuu
Mwezi January 2017 mke wangu aligundulika na tatizo la molar pregnancy akafanyiwa evacuation.
Then akaambiwa awe anapima kiwango cha HCG Kwa muda wa miezi 6-12
Zoezi likaanza chini ya uangalizi wa dokta
First time anapima HCG level zilikua >200000 IU/L
Then ikaja 197.57 IU/L
Then ikaja 71.51IU/L
Ikaja 273.24 IU/L
Ikaja 6.96 IU/L
Na jana amepimwa zikawa 11.34 IU/L
Je Kwa takwimu hii kuna njia gani mbadala inayofaa kutumika ili hizi HCG Level zibaki normal Kwa kiwango cha chini ya 5 IU/L
Msaada wenu wakuu
 
Ni complete au partial molar pregnancy mkuu....as human chorionic gonadotrophin ni secretion ya syncytiotrophoblast na placenta (after implanting )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom