Msaada...Njia Gani, Za Kufanya Utafiti Wa Kibiashara?

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,399
1,250
Biashara Hasa Iliyongeni(Ndio Kwanza Unawaza Kuianzisha Wewe Peke Yako) Ktk Eneo Husika.
Nifanyeje Ili Kujua Soko, Na Changamoto Zake?
Sababu Hata Kama Biashara Isiyokuwa Ngeni(Iliyozoeleka), Ukiwauliza Wafanyabiashara Wanaoifanya Kwa Mda Huo, Hawatoi Ushirikiano!
Je, Kuna Njia Nyingine Tofauti Na Hii Ya Utafiti Wa Kutegemea Wafanya biashara Husika?
Nawasilisha Kwa Shukrani!
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,399
1,250
Sijakupata vizuri...embu fafanua mkuu.
Kawaida Kabla Ya Kuanza Biashara, Lazima Ufanye Utafiti Wa Soko Wa Hiyo Biashara!
Sasa Njia Zipi Bora Za Ufanyaji tafiti Wa Biashara?
Nazani Umenielewa, Ahsante Ndugu!
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,866
2,000
Mkuu njia za kufanya Utafiti ziko Nyingi sana na Moja ya sorce za Kupata Inforamation ni kupitia

1. Wateja mbalimbali wanano tumia bidhaa kama unazo taka kuanzisha

2. Maonyesho ya Biashara unaweza kutana na watoa huduma au wazalishaji kama wewe

3. Makala mbalimbali

4. Ofisi za Serikali, Hapa utapata ni kampuni ngapi mpka sasa zimepewa leseni kufaya hiyo biashara?

5. Kuwafesi wafanya biashara Moja kwa Moja na kuingia kama Mteja,

6. Kutuma mashushu,

7. Kununua baadhi ya Wafanyakazi wa hizo kampuni ili wakupe information

8. Kama ikwezekana unaweza hata Omba kazi hapo ilimuradi upate unacho kitafuta

9. Kupitia Matangazo yao ya Biashara Redion, kwenye TV, kwenye Magazeti na kazalika

10. Kuwa mmoja wa wanunuzi wa hiyo product, mfano unataka kufanya biashara ya kufuga kuku na unataka kujua wenzanko wanafanyaje, basi anza kwa kununua bidhaa za Competitors wako na hapo utaweza pata baadhi ya Info
 
AHSANTE SANA MKUU!
Hasa Nilitaka Fahamu Kujua Soko La Biashara Yangu(ngeni ktk jamii Yangu)
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,866
2,000
Soko inategemea wewe unataka kufanya nini na wapi na wakati gani, Soko unaweza tumia hizo hizo njia kujua soko lako na washindani wako, Ila kama ni bidhaa mpya kabisa sokoni hapo ndo unaweza fanya testing ya product au kufanya tafiti za kuuliza baadhi ya watu kuhusu hicho unacho taka kufanya,

So mkuu kama bidhaa yako ni mpya basi wewe unaweza kuingia kwa kidogo kidogo ila kama ni bidhaa ambayo ipo ni lazima utumia hiyo njia, Kwenye kujua soko lako kuna mambo haya
1. Price
2.Demand
3. Distribution
4. Competitors

So ni kupitia walioko sokoni tiyali ndo unaweza kujua soko lako likoje
 
Mkuu Nashukuru Pia, Hasa Kwa Kunielewa Na Kunijuza Mambo Hayo, Hasa Kwa Biashara Ngeni, Hakika Umenisaidia Sanaa Mkuu...!

Ndugu Zangu!..Nawashukuruni Nyote Kwa Michango Yenu Mizuri,Pia Kama Kuna Kipya Cha Kuongezea Mnakaribishwa Tafadhari!
Mbarikiwe!
 
Top Bottom