Msaada wa Kisheria: Agent kanikatisha tiketi from Kahama to Mbeya lakini gari alilonipandisha limeishia Dodoma

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
871
Wakuu Kuna kipindi nilipatwa na msiba ambapo ilinibidi nichelewe kusafiri hivyo nilivyofika stend agent kasema gari za kwenda mbeya zipo nyingi hivo nisijari , akaniomba nikate tiketi ya moja kwa moja NAMI nikakata tiketi kwa 65000 mpaka mbeya.

Ilipofika saa tano nikapanda gari kumbe maelezo aliyoachiwa konda wa gari ile ni kunifikisha dodoma na sio mbeya, nilipofika singida yule konda kanifaulisha gari inayoenda dodoma na nilipofika dodoma kupiga simu kwa agent aliyopo kahama hapokei simu , piga simu sana lakini wapi

Nikaamua kuchukua gari nyingine na kulipa nauli upya ya dodoma to mbeya


Baada ya wiki nikarudi Tena kahama nikamfuata yule jamaa kiungwana tu kuwa siku zile nimekupigia simu hukupokea ikabidi nilipe nauli upya so inabidi unirudishie ile pesa yangu , lakini mpaka Leo ananizungusha

Na saivi hapokei simu zangu hii inakaaje maana niliona mdau mwingine naye analalamika kuwa naye alifanyiwa hivihivi na stendi hiohio ya kahama
 
Pole kiongozi
Labda tuanze hivi;
1. Alikuandikia ticket Kahama to Mbeya ya tarehe hiyo uliyosafiri?
2. Ticketi huwa inaonesha jina la kampuni/basi na muda wake wa kuanza safari; Je ulipanda basi husika liliondikwa/linaloonekana kwenye Ticketi?

Kama hayo maswali mawili hayana majibu timilifu basi usiendelee kujisumbua
 
Pole kiongozi
Labda tuanze hivi;
1. Alikuandikia ticket Kahama to Mbeya ya tarehe hiyo uliyosafiri?
2. Ticketi huwa inaonesha jina la kampuni/basi na muda wake wa kuanza safari; Je ulipanda basi husika liliondikwa/linaloonekana kwenye Ticketi?

Kama hayo maswali mawili hayana majibu timilifu basi usiendelee kujisumbua
Akiweza kujibu hapa, atakuwa amepata majibu kabisa, atumie ticket husika Kuna namba za simu aongee nao na kuelezea issue yake
 
Wewe ni mzembe, unaooenda hupajui hadi agent ndio akufanyie yote hayo?

Nimefurahi umetapeliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom