Msaada: Nitumie mbinu ipi ili watoto wapende kujisomea?

Kusoma ni sehemu tu ya njia ya kupata maarifa. Zipo nyingi, kuna kusikiliza, kutazama, na kujifunza kwa kuigilizia kwa vitendo.
Mkuu, hawa watoto nimekabidhiwa ili niwasimamie, maana mmoja kamaliza darasa la 7 mwaka huu ananijua vizuri.
Kipind cha COVID 19 alisoma, akilala kwa amri za kijeshi, makofi, ngumi, mawe mpaka makonzi yalihusika.
Kumbuka dingi wake akinipa kibali cha kumshushia kipigo akivunja utaratibu niliomuekea.

Baadae akaanza kusurrender mwenyewe, now kapata daraja A kachaguliwa Ilboru.
Sasa wazazi wa hawa wengine wameona njia rahis wanikabidhi mimi watoto wao ilo niwanyoshe kama mwenzao.
Elevat Kapela
Tape measure
BAK
Mamndenyi
Unforgetable
Red Giant
Mtende
Jasmoni Tegga
Sky Eclat
Me too
MoseKing
Mtanzania2020
Njusi
 
Uza tiivii halafu oa mke wa pili.
1. Kuuza tiivii umenielewa
2. Ukio mke wa pili mama yao atakua anawahimiza sana kusoma. I know from experience
Dah, mimi sio mzazi mkuu.
Nimegraduate juzi tu, nimeambiwa niwasimamie hawa watoto.
 
Tell me, I may understand and do it; show me and I will do it. Be the very change you want to see in the world. Lead not by words, but actions for they speak louder. Let your children see you enjoying reading yourself. Utarudi hapa kunishukuru.

I remember, like it was yesterday, spending hours and hours ^WITH^ my parents in the library, as a little kid.

You were then bookworms!!,🤣
 
Habari zenu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watoto hapa maskani.
Hawataki hata kusoma wala kujisomea, yani wakitoka shule Tv na wao, wao na Tv.
Yaani ukiwaambia wakasome hawataki yan mpaka waamie wenyewe.
Ukiwaambia walajisomee wanaona kama unawatibulia ratiba yao.
Hata mtihan ukikaribia hawasomi na mitihan hawakuonyeshi.
Mmoja yupo form 2 mwingine darasa la 5 mwungine 7 meingine 3
Nifanyaje maana muda mwingine nachoka mpaka najisemea kimoyomoyo wasome au wasisome watajua wenyewe.
Kumbuka hawa ni watoto wa ndugu zangu wameletwa hapa niwasimamie wasome lakini wao wanaleta ujinga

NB: Nimehitimu chuo mwaka huu UDOM
Kuna mazingira mazuri ya kujisomea? Jaribu kuanza kwa kulima uelewa wao wa masomo yao. Waulize maswali mbalimbali, kama hawatoi majibu yaliyonyooka, hapo hapo unamwambia akachukue kitabu au daftari, mnakaa wote mezani anasoma na unamsaidia asipoelewa. Wakalishe wote kama kikundi wasaidiane hasa aliyetangulia awasaidie wenzie na wewe ukiwasimamia wote. Weka muda maalum kwa kila jambo. Kuamka, kula, kuangalia runinga na kujisomea.
 
Shukrani sana mkuu
Wa form 3 define tu inampiga chenga.
Kuhusu Tv unaweza ukawa umetoka ghafla tuseme umeenda kwa jamaa yako umekaa huko kama dakika 30 ukirudi unakuta wameacha kusoma wamewasha TV wanaangalia
 
Habari zenu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watoto hapa maskani.
Hawataki hata kusoma wala kujisomea, yani wakitoka shule Tv na wao, wao na Tv.
Yaani ukiwaambia wakasome hawataki yan mpaka waamie wenyewe.
Ukiwaambia walajisomee wanaona kama unawatibulia ratiba yao.
Hata mtihan ukikaribia hawasomi na mitihan hawakuonyeshi.
Mmoja yupo form 2 mwingine darasa la 5 mwungine 7 meingine 3
Nifanyaje maana muda mwingine nachoka mpaka najisemea kimoyomoyo wasome au wasisome watajua wenyewe.
Kumbuka hawa ni watoto wa ndugu zangu wameletwa hapa niwasimamie wasome lakini wao wanaleta ujinga

NB: Nimehitimu chuo mwaka huu UDOM
Eh!!!!!
 
Back
Top Bottom