Msaada: Nitumie mbinu ipi ili watoto wapende kujisomea?

Mkuu, hawa watoto nimekabidhiwa ili niwasimamie, maana mmoja kamaliza darasa la 7 mwaka huu ananijua vizuri.
Kipind cha COVID 19 alisoma, akilala kwa amri za kijeshi, makofi, ngumi, mawe mpaka makonzi yalihusika.
Kumbuka dingi wake akinipa kibali cha kumshushia kipigo akivunja utaratibu niliomuekea.

Baadae akaanza kusurrender mwenyewe, now kapata daraja A kachaguliwa Ilboru.
Sasa wazazi wa hawa wengine wameona njia rahis wanikabidhi mimi watoto wao ilo niwanyoshe kama mwenzao.
Elevat Kapela
Tape measure
BAK
Mamndenyi
Unforgetable
Red Giant
Mtende
Jasmoni Tegga
Sky Eclat
Me too
MoseKing
Mtanzania2020
Njusi
Mkuu wwzazi wa kike wananguvu sana hasa kwenye malezi mshirikishe utafanikiwa wewe toa zawadi kidogo sana na ahadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu alibuni mbinu za kununua A, yaani mtoto anaepata A analipwa kiasi alichokubaliana na wazazi.
Ananiambia kuna mmoja alikuja na A 6. Fikiria kama mlikubaliana A moja ni laki moja!

Lakini alifanikiwa.
Good motivation. Just unamwekea akiba yake kulingana na credits ama grades. Every score iwe na points. Nazugumzia usomaji, specifically.
 
Mkuu, hawa watoto nimekabidhiwa ili niwasimamie, maana mmoja kamaliza darasa la 7 mwaka huu ananijua vizuri.
Kipind cha COVID 19 alisoma, akilala kwa amri za kijeshi, makofi, ngumi, mawe mpaka makonzi yalihusika.
Kumbuka dingi wake akinipa kibali cha kumshushia kipigo akivunja utaratibu niliomuekea.

Baadae akaanza kusurrender mwenyewe, now kapata daraja A kachaguliwa Ilboru.
Sasa wazazi wa hawa wengine wameona njia rahis wanikabidhi mimi watoto wao ilo niwanyoshe kama mwenzao.
Elevat Kapela
Tape measure
BAK
Mamndenyi
Unforgetable
Red Giant
Mtende
Jasmoni Tegga
Sky Eclat
Me too
MoseKing
Mtanzania2020
Njusi
Utaua, utajua, utapata murder case. Huhitaji kutumia nguvu nyingi. Dadisi hao wanajifunza zaidi kwa mbinu gani
 
Habari zenu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watoto hapa maskani.
Hawataki hata kusoma wala kujisomea, yani wakitoka shule Tv na wao, wao na Tv.
Yaani ukiwaambia wakasome hawataki yan mpaka waamie wenyewe.
Ukiwaambia walajisomee wanaona kama unawatibulia ratiba yao.
Hata mtihan ukikaribia hawasomi na mitihan hawakuonyeshi.
Mmoja yupo form 2 mwingine darasa la 5 mwungine 7 meingine 3
Nifanyaje maana muda mwingine nachoka mpaka najisemea kimoyomoyo wasome au wasisome watajua wenyewe.
Kumbuka hawa ni watoto wa ndugu zangu wameletwa hapa niwasimamie wasome lakini wao wanaleta ujinga


NB: Nimehitimu chuo mwaka huu UDOM
Ajabu sana... jee wazazi wako walikuwekea TV ulipokuwa baby ????
TV haitowasaidia kitu...hao kinda... bora watches sports...njia ya kusoma ni Alfajiri baada y Swala!!
 
Ngoja huyo wa form 2 akishataga (0 division), hao wengine watakaumbo pesa za tuition. Wala usiangaike nao

Binadamu huwa anajifunza vizuri kwa vitendo
 
You were then bookworms!!,
As far as I can remember, I vividly recall how I was being meticulously corrected kwenye punctuations, etc. Also handwriting. I literally loved reading almost forever. BUT ^I saw it firsthand.^
 
Watasomaje vitabu wakati hawakuoni na wewe umeshika vitabu unasoma?

Kupenda kusomasoma vitabu ni utamaduni unaojengwa kwanza na mzazi au mlezi.

Watoto wakikuona unavuta bhangi mbele yao na wawo siku moja watajaribu waone utamu wake.
My mother only allow us to watch small amount of television. She made us read books, when everybody was outside playing we had to read books. But in the process of reading those books. I read about a lot of people, successful people. And I came to realize that the person who has the most to do on what's happen to you is you. It's not somebody else.It's not some outside influence. It's not some environmental factor. It's you and the choices you make.-Dr Ben Carson

FB_IMG_1609449317871.jpg
 
Mtoto wa shule ya msingi anasoma nini sasa? Acha kutesa watoto.

Ukirudi nyumba shika kitabu cha hadithi soma, au kitabu chochote hiyo iwe ndio desturi yako, watakuiga. Lakini sio kusema shomaa! shomaa! wakati wewe mwenyewe ukirudi home unakimbilia remote, pumbavuuu
 
Mtoto wa shule ya msingi anasoma nini sasa? Acha kutesa watoto.

Ukirudi nyumba shika kitabu cha hadithi soma, au kitabu chochote hiyo iwe ndio desturi yako, watakuiga. Lakini sio kusema shomaa! shomaa! wakati wewe mwenyewe ukirudi home unakimbilia remote, pumbavuuu
Mkuu mimi siangaliagi TV aisee
 
Mimi ya kwanzgu ilikuwa inapenda kuangalia swahili yv yani mitamthilia yote ya kifilipino inaijua na hivi imetafsiliwa kwa kiswahili ndo kabisa japo ni midogo kimoja chekechea kingine std 1 lakini mibishi hatari kila muda swahili tv kusoma moaka ijisikie sasa nimeona usiwe tabu nimeacha kununua king'amuzi inapiga kelele balaa ila sasa imezoea inaang'alia TBs ya tunatekeleza sasa naona imeshaanza kujua miradi yote inayptekelezwa na awamu ya tano na imeanza kukalili.kale kawimbo kaa magufurii ni jembee jembe letuu ila inalalamika bala sijui michadema hii mitoto ila nimeikomesha angalau sasa inajisomeasomea
 
Back
Top Bottom