Msaada: Nitumie mbinu gani ku-cover topics za physical Geography form 3?

habari zenu , naomba kusaidiwa hili , katika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
Muda wa vipindi vya kawaida (ratiba ya shule) unafundisha topic moja, tafuta muda wa ziada, huo muda wa ziada unakuwa unafundisha topic nyingine
 
asante mkuu nimekupata hizi topic ni ndefu sana kwa muda wa vipindi hautoshi
 
habari zenu , naomba kusaidiwa hili , katika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi

Muda unatosha sana mkuu.....
Fanya kuwafundisha wanafunzi kwa practicals zaidi, wapeleke kwenye mazingira halisi kama yanapatikana karibu na shule.....pia tengeneza models za physical features mbalimbali.

Kama uko shule ya private ni rahisi zaidi.....waagize wanafunzi wajitengenezee notes zao kupitia library research kisha wewe unazipitia na kuzisahihisha..... believe me nina miaka 9 kazini sijawahi kuwa sijamaliza sylabus kabla ya mwezi wa 9...

Ikiwa shule ina digital projector basi tengeneza notes zako kwa mtindo wa slides
 
ukiwa na vipindi vitatu au viwili kwa wiki unamaliza ila unatakiwa kila kipindi unamaliza sub topic mbili ukiweza
 
Muda unatosha sana mkuu.....
Fanya kuwafundisha wanafunzi kwa practicals zaidi, wapeleke kwenye mazingira halisi kama yanapatikana karibu na shule.....pia tengeneza models za physical features mbalimbali.
Kama uko shule ya private ni rahisi zaidi.....waagize wanafunzi wajitengenezee notes zao kupitia library research kisha wewe unazipitia na kuzisahihisha..... believe me nina miaka 9 kazini sijawahi kuwa sijamaliza sylabus kabla ya mwezi wa 9...

Ikiwa shule ina digital projector basi tengeneza notes zako kwa mtindo wa slides
as ante sana mkuu niko shule za kata hizi nashkuru kwa ushauri wako
 
shule za kata ni changamoto kwa kweli ila jaribu kufanya hivi....washirikishe wanafunzi wako kutengeneza models, nina hakika wanajua mambo mengi tu. Pia wakati wa vipindi wapeleke watembelee sehemu kama mito, milima n.k inakuw arahisi wao kuelewa wakiona kuliko kukazana kuchora ubaoni
 
asante mkuu isaac
 
Nilipokuwa mwanafunzi nilijisomea mwenyewe Mwl. Alijaribu kufundisha lakini hakumaliza naipenda sana physical geog
 
Nikiwa Advance NSUMBA SEC 2009_2011 ,,Mzee MATOVU PCB ,,Alkua anatupiga pindi Usiku Daily j3-ijumaa,,siku nyingine Alfajiri saa 10_12 asubuhi kabla ya ratiba ya shule,,Tulifumua topic zote za Physical na pia Climatology,Map reading na photography Interpretation!!Hio ndio ilkua siri ya Mafanikio na niliitumbuaa Geog kwenye Necta vilivyoo!!
 
Tengeneza magroup ya wanafunzi sita sita....
Kila group wapatie sub topic kila kipindi wa present group mbili mbili!!!!!! Alafu wakati wanawakilisha kazi zao utumie nafasi hiyo kuwa rekebisha!!!!!!!uwe mkali kweli kwenye hizo kazi....na ikiwezekana marks uwapatie kabisa
 
Habari zenu , naomba kusaidiwa hili,
Kkatika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
Zipotezee tu kijana, maana zina marks 25 katika mtihani wa Form Four.

Zitakupotezea muda alafu ufeli mitihani mingine. Komaa na masomo mengine.
 
Mimi nilifanya hivi.

Kwanza sikua na malengo ya kusoma geography advance na pia physical geograph ilikua inaniboa. Kwa hiyo nikajiwekea mpango mkakati kama ifuatavyo.

Swali la 3 ambalo ni explain with aid of diagram nikajiwekea akilini nishalikosa kwa hiyo nikaondoa alama 10 kabisa zikabakia 90.

Huku kwenye matching item na multiple choice kulikua na kumi kumi ambazo jumla yake 20. Kwakua ni ya kuchagua na pia na si maswali yote yalikua yanatoka kwenye physical geo kwa hiyo katika 20 marks nikajiwekea 10 lazima zipotee japo si zote zilikua zinapotea.

Hapo nikawa nimemaliza kwa hiyo nikiingia kwenye paper ya geo tayari marks 20 nishazitoa kabisaaa nimebakiza 80 ambazo naenda kufa nazo. It worked out for me. So B na C ilikua uhakika na necta nikapata C.

NB.
Sio kama nilikua sisomi kabisa hapana nilikua napitia but sio kwenda deep kihivyo ni just kuhakikisha pale kwenye MCQ na matching items natoka mrithi.

So, kama huna mpango na geography a level u may do as i used to do. Do it at your own risk.
 
Deal na topic mhm hasa za mwanzomwanzo i.e structure of the earth, forces that affect the earth[general], then folding and faulting, earthquake, weathering, mass wasting, action of running water and wind. Then maliza na soil science. Achana na ocean/sea, glaciation,...
 
Habari zenu , naomba kusaidiwa hili,
Kkatika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi

Kama shule yako ni ya kutwa waite waje jumamosi,muda wa jioni baada ya vipindi vya kawaida,likizo fupi nk, ila inataka moyo sana. Kumbuka baada ya phyiscal,kuna MAP,STATISTICS,PHOTO,SURVEY Yote hiyo ni Form 3,si kitoto baba
 
Back
Top Bottom