Muda wa vipindi vya kawaida (ratiba ya shule) unafundisha topic moja, tafuta muda wa ziada, huo muda wa ziada unakuwa unafundisha topic nyinginehabari zenu , naomba kusaidiwa hili , katika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
asante mkuu nimekupata hizi topic ni ndefu sana kwa muda wa vipindi hautoshiMuda wa vipindi vya kawaida (ratiba ya shule) unafundisha topic moja, tafuta muda wa ziada, huo muda wa ziada unakuwa unafundisha topic nyingine
habari zenu , naomba kusaidiwa hili , katika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
as ante sana mkuu niko shule za kata hizi nashkuru kwa ushauri wakoMuda unatosha sana mkuu.....
Fanya kuwafundisha wanafunzi kwa practicals zaidi, wapeleke kwenye mazingira halisi kama yanapatikana karibu na shule.....pia tengeneza models za physical features mbalimbali.
Kama uko shule ya private ni rahisi zaidi.....waagize wanafunzi wajitengenezee notes zao kupitia library research kisha wewe unazipitia na kuzisahihisha..... believe me nina miaka 9 kazini sijawahi kuwa sijamaliza sylabus kabla ya mwezi wa 9...
Ikiwa shule ina digital projector basi tengeneza notes zako kwa mtindo wa slides
asante mkuu kwa ushauri Wang mnazidi kunipa ujuzi zaidiukiwa na vipindi vitatu au viwili kwa wiki unamaliza ila unatakiwa kila kipindi unamaliza sub topic mbili ukiweza
shule za kata ni changamoto kwa kweli ila jaribu kufanya hivi....washirikishe wanafunzi wako kutengeneza models, nina hakika wanajua mambo mengi tu. Pia wakati wa vipindi wapeleke watembelee sehemu kama mito, milima n.k inakuw arahisi wao kuelewa wakiona kuliko kukazana kuchora ubaonias ante sana mkuu niko shule za kata hizi nashkuru kwa ushauri wako
shule za kata ni changamoto kwa kweli ila jaribu kufanya hivi....washirikishe wanafunzi wako kutengeneza models, nina hakika wanajua mambo mengi tu. Pia wakati wa vipindi wapeleke watembelee sehemu kama mito, milima n.k inakuw arahisi wao kuelewa wakiona kuliko kukazana kuchora ubaoni
shule za kata ni changamoto kwa kweli ila jaribu kufanya hivi....washirikishe wanafunzi wako kutengeneza models, nina hakika wanajua mambo mengi tu. Pia wakati wa vipindi wapeleke watembelee sehemu kama mito, milima n.k inakuw arahisi wao kuelewa wakiona kuliko kukazana kuchora ubaoni
asante mkuu isaacshule za kata ni changamoto kwa kweli ila jaribu kufanya hivi....washirikishe wanafunzi wako kutengeneza models, nina hakika wanajua mambo mengi tu. Pia wakati wa vipindi wapeleke watembelee sehemu kama mito, milima n.k inakuw arahisi wao kuelewa wakiona kuliko kukazana kuchora ubaoni
Zipotezee tu kijana, maana zina marks 25 katika mtihani wa Form Four.Habari zenu , naomba kusaidiwa hili,
Kkatika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi
Habari zenu , naomba kusaidiwa hili,
Kkatika somo la geography form three kuna topics za physical geography ni ndefu sana huwa mnatumia mbinu gani kuzimaliza kuzifundisha kwa muda mfupi