Msaada: Nitapata wapi Ndulele maeneo ya Dar

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
Mi ninazo ni pm uje uchume
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
Nenda Pugu wanakoshushia ng'ombe kutoka mikoani. Huko huwezi ukakosa maana ndulele hupenda maeneo ambayo yako na msongamano wa mifugo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…