UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,458
- 8,746
Uchswi ni nini? Niambie wewe.
Unaniuliza mie kwa maana hujui uchawi nini au unaniuliza tu ili ujue mie nafahamu vp uchawi?
Uchswi ni nini? Niambie wewe.
Unaniuliza mie kwa maana hujui uchawi nini au unaniuliza tu ili ujue mie nafahamu vp uchawi?
Nakuuliza wewe ili kutaka kujua uelewa wako kuhusu dhana ya uchawi ukoje.
Kuna watu hawajui tofauti ya herbalist na mchawi.
Hebu kwanza niambie tofauti ya uchawi na herbalist.
Herbalist ni utaalamu wa dawa kwa kutumia mimea/ mitishamba. This is chemistry and biology. Uchawi ni kuamini supernatural forces.
Sasa ni aina gani ya ushahidi unaouhitaji ili kuweza kukubali kuwa uchawi upo?
A logically consistent construct that methodically rules out all the other possibilities in an airtight manner.
Hivi yale maonesha ya kumkata mtu kichwa we unayazumziaje.
Wazungu ndiyo stsndsrd ysko ys ukweli?
Mzungu akitambika basi uchawi upo?
Kuna wakati karibu dunia nzima iliamini jua linazunguka dunis, did that make it so?
Estu wakigandiana kwa nini unakimbilia kusema uchawi?
Unafahamu rare biological phenomena zote?
Hata kwenye movie unaweza kuona mtu kakatwa kichwa, hilo linamaanisha mtu kakatwa kichwa?
Wewe unaamini kabisa kwamba kwenye mazingaombwe mtu anakatwa kichwa?
Kile kinachonifanya hadi mie nione kweli mtu akikatwa kichwa ni nini?
Sijaweka wazungu peke yake hapo. Hiyo ni moja pili nimekueleza kuwa kuna mtu alimuwekea tego mke wake ili akilala na mwanaume mwingine wagandiane na ikafanyika hivyo na kushuhudiwa. Sasa niambie wewe kuwa ni nini hiyo! Na imeshuhudiwa Tanzania na Kenya katika miaka hii miwili 2013 na 2014! Basi hata kama hutaki au unaona kuwa itakuwa vigumu kuelewa source ya nguvu hizi just kubali kuwa upo ila hauna mamlaka ya kudhuru kila mtu.
Mawazo yako.
Kwa hiyo unaniambia kuwa mazingaombwe ya kutembea juu ya maji, kupaa, kupita kwenye ukuta, kumtowesha tembo ni just a trick ambayo ukinong'onezwa waweza fanya? Na yale mapepo/majini ambayo humpanda mtu akaanza kuzungumza mambo yaliyositirika ni ukanjanja tu?
Mawazo yangu yanakuwa yamefanyaje?
Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?
Nimekueleza kwamba kuna wakati karibu dunia nzima iliamini kwamba dunia ni flat, so nimevuka habari za wazungu tu. I am not sure why you are stuck on that.
Nimekuuliza unafahamu habari zote kuhusu rare and extraordinary biological phenomena?
Na kama huzijui zote, hata kama mimi nitashindwa kukuambia watu wamegandana kwa sababu gani, kwa nini ukimbilie kwenye uchawi?
Dhakari inayopanuka kuingia kwenye kanwa linalosinyaa na kushindwa kutoka cha ajabu ni kitu gani hapo?
Hata kama huko chini hakuna tatizo, unajua psychological effect zote zinazoendana na kitendo hicho kinapofanywa katika mazingira hayo?
Unajua paralysis gani iliambatana na zoezi hilo? Unajua the state of mental health ya hao watu?
Kwa nini ukimbilie kusema uchawi?
Kwa nini tuynakuwa wavivu kufanya uchunguzi ili tuelewe vitu tusivyovielewa na tunakimbilia kuviita vitu tusivyovielewa uchawi?
Sijuwi kwanini huwa tunaamini haya mambo, cha kushangaza polisi na afisa ardhi ukienda nao pale hatutashangaa kwamba hakuna jini litakalotupwa wala kibuyu, kwanini tunapenda kutengeneza story za haya mambo wakati tukijuwa sheria za nchi hazina miujiza wala majini?!