Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

Wanafunzi wa Yesu kuna wakati walishindwa kumtoa mtu pepo,je walikuwa hawajaokoka???

Umesoma hicho kipengele vzr? Baada ya kushindwa Yesu aliwajibu nn?
'Namna hii haiwezekani ila kwa kufunga na kuomba'...
Means sio kila kitu cha kuomba/kuombea kwa styl hyohyo kuna vingine lzm ufunge na kuomba, kwa maana nyingine sio kila shida ni ya kuomba tu wakati mwingine bfore hujaomba u need revelation, Mungu through holy spirit anakwambia kwa hili omba hivi ndo utaona umhim wa roho mtakatifu coz yy ni director!
Na hapa ndo utajua kuwa wakristo wengi wanashinda njaa badala ya kufunga!coz wanaamua Wenyewe na sio maelekezo ya roho mtakatifu!
 
Ni mitandao miwili tofauti na mara nyng ukinzana hata kwa uamini wao kwa mfano imani inayomtegemea mungu mara nyng inaongerea amani kuheshimiana na kutambua umuhimu wa watu wengine ila wachawi mara zote wanaheshiniana kwa nguvu za kichawi kama wanajeshi wanavyoheshimiana kwa vyeo wao ni wababe kuanzia kwa wao wenyewe kwa wenyewe hadi kwa watu wa mtandao wa mungu haswa wenye imani nusunusu ila ni vigumu kama haupo kwny mtandao wa kichawi ukarogwa hivyo nionavyo mimi
 

Hakuna mungu wala uchawi.

Vyote viwili hivi ni matokeo ya mawazo ya binadamu tu.
 


Unavyojichanganya!..mie bado nataka unijibu ni nguvu gani inayotumika hadi kuyafanya macho yangu au yako yaone kweli mtu anakatwa kichwa?

Kuhusu movie mie navyojua hutumika computer,na hata hivyo movie haiusiani hapa kabisa hapa tunazungumzia tukio la live.
 

Mkuu hoja zimekuishia sasa surgery utafananisha vp na hali ya kupotea sehemu za siri kwa ghafla?
Haya tufanyi hili jambo halijasababishwa na uchawi,lakini hili jambo ni la ajabu,sasa haya hebu niambie kupotea huko kwa sehemu za siri je wewe kwako unaonaje ni kawaida?
 
dawa ya kupambana na mchawi na wewe uwe mchawi
 



Poor Kiranga your ignorance will survive for ever kwa majibu yako mepesi katika supernatural force ...hembu soma hapa:


Supernaturalism
Supernaturalism is perhaps the broadest classification of religious practices, encompassing any belief system dealing with supernatural forces. Supernaturalism asserts the existence of forces beyond human comprehension that frequently interfere, for better or worse, in human affairs. Most simply, the laws of nature do not bind the supernatural. These forces are considered impersonal because they are thought to come and go as they see fit, and can inhabit human and non-human objects alike. In popular culture and fiction, the supernatural is whimsically associated with the paranormal and the occult, which differs from traditional concepts in some religions, such as Catholicism, where divine miracles are considered supernatural.

The concept 'mana' is a classic example of a supernatural force that imbues objects with powers and authority. For example, in Polynesian cultures, mana is the force that allows efficacy, or the ability to have an influence in the world. Similarly for Melanesians, mana primarily inhabits objects, like charms or amulets, which confer good fortune to whoever possesses them (though mana can also inhabit people or animals). Mana is not inherently good or evil; its impact depends on how it is used.
 
Last edited by a moderator:

Nishakujibu, mimi nikuulize, unajua kusoma?

Tukio la live ma movie vyote ni optics, unaweza kuwa tricked na optics, slight of hand, secret chambers, optical illusions etc.

Read a little.
 

Kupoteza sehemu za siri kwa ghafla una uhakika kwamba imetokea ghafla?

Ulikuwa unamkagua huyo mtu kila siku ukaona siku moja sehemu za siri zimetoweka?

Wapi nimesema.ni.kawaida?

Nick Wallenda anatembea juu ya kamba huku kafumba macho. Hilo ni la kawaida? Si la kawaida. Lakimi je, kutokuwa kawaida kunamaanisha ni uchawi? Hakumaanishi ni uchawi.

Kabla ya kusema huu ni uchawi inabidi ku exhaust kila kitu kingine. Kabla hujamaliza ujuzi wa the natural world huwezi kusema "this is supernatural".

This lazyness on our part when it comes to investigation is what makes us call most things we don't understand "uchawi".

Ndio tunajikuta hata yale tusiyoyaelewa tu, kama mababu zetu walivyokuwa hawaelewi inakuwaje mtu akatabiri kupatwa kwa jua na kukatokea siku ile ile aliyotabiri, tunaxaita uchawi, supernatural. Wakati kuna explanations nzuri tu in the natural world.
 

This talks about a religion, a system of belief. Not facts.

There are religions posing conflicting ideas. So thetefore they both can't be true.

If this is your best rebuttal you have a long way to go.

Googling and copy pasting wont help you. You need to understand the objections youbare dealing with and address them.
 
Last edited by a moderator:
Jamani uchawi upo na nguvu za Giza zipo...

nilikuaga siamini Kama kiranga but sasa naamini uchawi upo kwa niliyoyashuhudia kwa macho. yangu.
 
Jamani uchawi upo na nguvu za Giza zipo...

nilikuaga siamini Kama kiranga but sasa naamini uchawi upo kwa niliyoyashuhudia kwa macho. yangu.

Kushuhudia kwa macho haina maana kitu ni kweli.

Unaweza kuamini Commando John anaweza kuua jeshi zima, kwa sababu umeona kwa macho.

Au ukafikiri jangwani kuna bwawa, kumbe mirage ya miraji.

Utaibiwa kama kwenye karata tatu.

Tumia akili zako.
 


Dawa ni Yesu Kristo Wa Nazareth aliye hai...

Yesu aliyemfufua Lazaro na ambaye kuzimu na mizimu ilitetemeka kwaajili yake....

Mwite Yesu atakusaidia....

CC: Eiyer Ntuzu Mkuu wa chuo
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya mchawi ni kuwa mchawi tu. Yaduniani tuyamalizie hukuhuku tafuta wa taalam wa ukweli ukishindwa kwa yesu, usiache mjomba wako ateseke wapo wataalan zaid
 
Sijakosea mkuu ila matumizi mabaya ya nguvu hizi ndio uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…