Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,763
- 145,546
Sijakosea mkuu ila matumizi mabaya ya nguvu hizi ndio uchawi
Nguvu gani?
Unaweza kuthibitisha kwamba zipo na si hadithi tu?
Ulichonukuu umekielewa au umenukuu tu?
Sijakosea mkuu ila matumizi mabaya ya nguvu hizi ndio uchawi
Nimekielewa sana nilikua nataka kukuthibitishia hizo nguvu zipo na zinatumika sana tuNguvu gani?
Unaweza kuthibitisha kwamba zipo na si hadithi tu?
Ulichonukuu umekielewa au umenukuu tu?
Nimekielewa sana nilikua nataka kukuthibitishia hizo nguvu zipo na zinatumika sana tu
Mifno ya uchawi uitakayo ..rejea kisa cha firauni na mussa huko misri ya kale
Kwa swala lako la shamba:
Achana na habari za uchawi, wewe ni raia una haki na haki unajua vizuri pa kuipata
kama umesema una hati hiyo hati ndio inakufanya ujue kuwa umeibiwa wala sio miujiza.
kwa kuzingatia nguvu ya hati yako, nenda sehemu husika fuata taratibu husika dai chako.
Tuachane na Imani za ajabu ajabu zingatia kwamba tunaishi katika misingi ya sheria na wewe ni raia mwenye haki na shamba lako.
Futilia mbali Imani, chukua hati yako mkononi nenda mamlaka husika tatua tatizo.
Kwa swala la mjomba wako:
huyo mpeleke hospitali cheki vipimo vya wataalam uone majibu atapona tu.
it seems unampenda mjomba wako ila si lazima yeye anakupenda,Isije kuwa mjomba wako na huyo mama wamekufanyia usanii, kuna con artists mjini hapa, wamekucheki wameona una Imani kali na ushirikina, mjomba kachonga dili na mama huyo ajifanye kapigwa tunguli uache kufuata utaratibu wa kisheria upoteze uogope kudai haki yako kisa uchawi
achana na imani hizo fuata haki yako tumia hati yako.
With reference read this ..I think your mind will learn something about magic and whichcrafts;;Hujathibitisha.
Kisa cha firauni na Musa una hakika gani kwamba kimetokea na si chagizo za mapokeo ya kihekaya tu?
With reference read this ..I think your mind will learn something about magic and whichcrafts;;
Sticks and snakes
Moses
When God was ready to deliver the Israelites from the land of Egypt, He told Moses to perform a miracle before Pharaoh to try to convince him to let His people go. Here is the description of the events from the Old Testament book of Exodus:
The LORD said to Moses and Aaron, "When Pharaoh says to you, 'Perform a miracle,' then say to Aaron, 'Take your staff and throw it down before Pharaoh,' and it will become a snake." So Moses and Aaron went to Pharaoh and did just as the LORD commanded. Aaron threw his staff down in front of Pharaoh and his officials, and it became a snake. Pharaoh then summoned wise men and sorcerers, and the Egyptian magicians also did the same things by their secret arts. (Exodus 7:8-11)
It is pretty clear from the description that Moses was just following directions and was not directly involved in transforming a stick into a snake.
Mkuu mkanganyiko unao wewe between the lines all basic theories are available within bibles and quruan hao waandishi wa majarida na vitabu wanakopy hawana uhakika zaidi ya uliopo ndani ya vitabu hiviThe boble does not impress me, it is an ancient book of faith that does not subject itself to a logical verification. It is full of contradictions.
Try something else.
Like a reputed, peer reviewed journal that adhere to the basic rules of scholarship.
Mkuu mkanganyiko unao wewe between the lines all basic theories are available within bibles and quruan hao waandishi wa majarida na vitabu wanakopy hawana uhakika zaidi ya uliopo ndani ya vitabu hivi
Pia mkuu usipende kuamini scholar mans sometimes they are not reflect a real meaning of god and universe ...learn more
Pia mkuu nimekuuliza wewe kama wewe unaroho ngapi hujajibu...
Sijaikoka natamani ila roho inasita
Mkuu mkanganyiko unao wewe between the lines all basic theories are available within bibles and quruan hao waandishi wa majarida na vitabu wanakopy hawana uhakika zaidi ya uliopo ndani ya vitabu hivi
Pia mkuu usipende kuamini scholar mans sometimes they are not reflect a real meaning of god and universe ...learn more
Pia mkuu nimekuuliza wewe kama wewe unaroho ngapi hujajibu...
Makanisa mengi naogopa kuangukia kwa maharamia ndio maana nipo nipo tu
Sijakumbatia mkuu haya mambo yapo na yamenikuta
The bible proclaims that god is omnipotent, omniscient and omni benevolent.
Yet we see a universe that he is supposed to have created being full of evil ans suffering.
How do you reconcile the two?