vfsuccessfully
Senior Member
- Jul 16, 2017
- 180
- 64
Habari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa niliibiwa pesa ndo maana nikashindwa ku update Visa wamenitolea nje kama mnavyo jua SA kuna Vibaka wengi nilikabwa nanikashindwa kwenda ku report kwa sababu waliniambia usipoteze muda kwenda kufungua case kuna matukio mengi yana fanyika na askari hawa fatirii ikiwemo watu kuu wawa kwa likanivunja moyo kwenda polisi sasa visa niliyoingilia hii inchi imekwisha muda wake toka july kwa hiyi na shindwa kuomba work visa kwa hiyo nipo kwenye hali mbaya sielewi nifanyaje na kuludi nyumbani siwezi maana niko illegal kwa naomba mwenye uzoefu na maswala ya nje anishauri.Asanteni