Msaada Nipo Nje ya Inchi.

Mkuu fanya haraka ushughulikie mambo yako kabla hujatiwa mikononi na polisi omba usiingie jela za south.

28 number sio watu wazuri

kweli mkuu pia kuna 26 27 makundi mabaya zaidi ya panya road mkuu unonekana uko SA umejuaje 28
 
Pole, nadhani huyo balozi anatakiwa afutwe kazi. Wanapaswa kukusaidia maana hapo ndiyo Tanzania ndani ya SA. Nakushauri rudi ubalozini omba kuonana na balozi akusaidie

Wewe Mudawote upo sawa kweli?

Balozi hawezi kukusaidia kuvunja sheria za nchi husika,ukishikwa unarudishwa huku mavumbini kwenu!

Na hiyo spirit ya kuvunja sheria unaipata wapi dada Mudawote mwana CCM kijana wa Magu?

How on earth can you be accessory to law breaking act like this?
 
Sasa mkuu siku zote hzo umepoteza visa alafu bado ukawa unakaa kwenye nchi ambaýo si yako hukushtuka tu. Ngoja akina shibe kijiji na kanali mwine waje kukushauri zaidi
 
aisee tumia akili namana ya kujichanganya na wabongo wenzako huko ila usitegemee msaada sana toka ubalozini usipoangalia wanaweza wakakusafirisha kama kifurushi kupitia dhl
 
Wewe Mudawote upo sawa kweli?

Balozi hawezi kukusaidia kuvunja sheria za nchi husika,ukishikwa unarudishwa huku mavumbini kwenu!

Na hiyo spirit ya kuvunja sheria unaipata wapi dada Mudawote mwana CCM kijana wa Magu?

How on earth can you be accessory to law breaking act like this?

Kuna husiano mzuri wa kidplomasia napia utambue kuwa nilipata matatizo yapelekea kuvunja sheria kwa nimevunja kwa kuto kukusudia
 
Kuna husiano mzuri wa kidplomasia napia utambue kuwa nilipata matatizo yapelekea kuvunja sheria kwa nimevunja kwa kuto kukusudia

Mkuu,nachosemea hapa ni balozi akusaidie wewe kufuata sheria na sio kuvunja sheria za nchi za watu.

Hiyo ndio hoja yangu!
 
Back
Top Bottom