Msaada Nipo Nje ya Inchi.

Msaada Nipo Nje ya Inchi.

Mitchells plain Capetown
Dah!0
Sasa mbona kuna Wabongo kitaa flani hapo Mitchell's plain?

Sikia......Nenda pale Town Center, kuna sehemu panaitwa G Unit kwa Wasomali, kuna salon ya kiume pale na Wabongo wa kutosha pale.....Muulizie Luck mwanetu huyu ni Rasta, kitambo maisha Yale, mwelezee atakusaidia issue yako!
 
Duh!, wakikumata migration ya SA .. utaimba hallelujah
 
Habari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa niliibiwa pesa ndo maana nikashindwa ku update Visa wamenitolea nje kama mnavyo jua SA kuna Vibaka wengi nilikabwa nanikashindwa kwenda ku report kwa sababu waliniambia usipoteze muda kwenda kufungua case kuna matukio mengi yana fanyika na askari hawa fatirii ikiwemo watu kuu wawa kwa likanivunja moyo kwenda polisi sasa visa niliyoingilia hii inchi imekwisha muda wake toka july kwa hiyi na shindwa kuomba work visa kwa hiyo nipo kwenye hali mbaya sielewi nifanyaje na kuludi nyumbani siwezi maana niko illegal kwa naomba mwenye uzoefu na maswala ya nje anishauri.Asanteni
Pole sana mdogo wangu nisaidie upo wapi hapo sauzi ? Na pia umeishi kwa muda gani
 
Habari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa niliibiwa pesa ndo maana nikashindwa ku update Visa wamenitolea nje kama mnavyo jua SA kuna Vibaka wengi nilikabwa nanikashindwa kwenda ku report kwa sababu waliniambia usipoteze muda kwenda kufungua case kuna matukio mengi yana fanyika na askari hawa fatirii ikiwemo watu kuu wawa kwa likanivunja moyo kwenda polisi sasa visa niliyoingilia hii inchi imekwisha muda wake toka july kwa hiyi na shindwa kuomba work visa kwa hiyo nipo kwenye hali mbaya sielewi nifanyaje na kuludi nyumbani siwezi maana niko illegal kwa naomba mwenye uzoefu na maswala ya nje anishauri.Asanteni
Wewe ni raia wa wapi tuanzie hapo!maana kama wewe ni mtanzania huitaji visa kuingia South Africa,tena ukiwapa rand 100 wale wazee wa ngwasuma wanakugongea miezi 3 for free!then ikiisha unatuma passport inagongwa tena miezi mitatu!kwa style hiyo unaweza kukaa hata miaka 20,kama huwezi kujiongeza kaishi nyegezi
 
Mkuu ili passport isiharibike ulitakiwa utoke uende Botswana au Zimbabwe unaishia boarder ukirudi siku unaongezewa tena siku 90,sasa umevunja Sheria hapo ni kutafuta rushwa Johannesburg au Pretoria wapo Wabongo wanaoenda na passport kuzigonga ila wanachaji kutokana na jinsi siku zilivyozidi zingatia maana ukienda mwenyewe Beit Bridge au Oliver Tambo wanagonga muhuri mwekundu utakiwi kuingia SA kwa muda wa miaka mitano uliingia na bus ukitaka kupata siku nyingi pita Oliver Tambo ni ghali ila unapata Visa mpaka ya miezi sita au Mwaka wameanza mwezi wa nane kugonga hivyo wafanyabiashara wengine wanagongewa miaka mitatu multiple Visa ni maelezo yako tuu na sio roho mbaya jamaa wa Oliver wameongeza Watu waingie Mara kwa Mara ili kuongeza mapato ya wageni wanachangia sana pia,
 
Home affairs hawawezi kukusaidia kwanza wao wana Sheria yao hutakiwi kubadili Visa ukiwa ndani ya SA ukiingia na visitors Visa hupati working permit hapo ila kwa makampuni kama wanakuitaji wanachajiwa wao hela nyingi muda mwingine Kampuni inakushuri urudi nyumbani unaenda Masaki ubalozi wao SA unapewa hiyo working permit na unarudi SA kupiga kazi.kuwa makini na hiyo working permit SA Watu tena wafanyakazi wa home affairs au walifukuzwa kazi ni matapeli sana watakuja na Gari la office na uniform kabisa na mihuri kumbe unatapeliwa wengi wametapeliwa mchezo huo ukitaka kufanya kazi katafute ile karatasi ya kikimbizi na mkwaju unagonga pia SA unaweza kuishi kwa kugonga mkwaju ili usiharibike na kugonga asylum seeker.
 
Habari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa niliibiwa pesa ndo maana nikashindwa ku update Visa wamenitolea nje kama mnavyo jua SA kuna Vibaka wengi nilikabwa nanikashindwa kwenda ku report kwa sababu waliniambia usipoteze muda kwenda kufungua case kuna matukio mengi yana fanyika na askari hawa fatirii ikiwemo watu kuu wawa kwa likanivunja moyo kwenda polisi sasa visa niliyoingilia hii inchi imekwisha muda wake toka july kwa hiyi na shindwa kuomba work visa kwa hiyo nipo kwenye hali mbaya sielewi nifanyaje na kuludi nyumbani siwezi maana niko illegal kwa naomba mwenye uzoefu na maswala ya nje anishauri.Asanteni
Mkuu pole, ila kama ni kweli hata kama hauna cent kuhusu visa sidhan kama unahitaji msaada manake visa hapo SA for Tanzania citizen is free hata kama uta extend 9 times......labda utuambie unahitaji naili
 
Mkuu Visa ya ku extend 9 times unaenda kuipata wapi tujifunze kwako...
 
Hapo SA kuna watu wanaishi more than 5 yrs as speak na bado hawajapata uraia na ni Watanzania sasa unadhan wanaishi namna gani?
Kumbe unaongelea hao sawa, Mimi toka 1998 nimeingia SA nimetumia Asylum seeker,Passport ya Tanzania na baadae Id ya SA na passport yao nimeifuta baada ya kutotaka kufanya kazi SA sasa natumia mkwaju wa Tanzania tumefanya utundu wote kuhusu makaratasi kwa sababu kampuni zetu zilikua zinafanya kazi nje ya SA...
Nimeshaeleza hapo juu jinsi tunavyoishi SA au China au Hong Kong ni kugonga kwa kutoka Nchi Jirani ili uongeze muda zaidi ya hapo hakuna na muda mwingine ukikutana na mkorofi hasa Beit bridge anakupa siku chache inatakiwa aende Botswana nauli ni kidogo tuu na ndio wanavyoishi hivyo sio Home Affairs ukagonge walishafuta huo mchezo 2002 nadhani...
 
Back
Top Bottom