Wakati nasoma UD! Mwaka 2003, nilinunua shamba la ekari 1 kimara mwisho kwa laki7! Off course nililipa ndan ya mwaka -miaka miwili, kwa ss hilo shamba linathaman sichini ya 60Mil, I am not sure kama n good investment kwako ila n stress fress investment, So that's an alternative
Tucheki facebook kwa Page yetu ya Free slave curio shop and boutique ukipenda bidhaa zetu unaweza kufanya na ukawa unachukua kwa bei ya jumla.... NOTE biashara yoyote unayotaka kuifanya lazima uifanye kutoka moyoni mwako na uipede hao ndipo utakao ona matunda ya biashara yako
nawashukuru sana wadau. am taking your comments very serious, naamin mtanisaidia sana, kwan financial freedom ni muhimu sana katika maisha
asante mkuu,,, laini za uwakala zinauzwaje ?
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dodoma,nahitaji kujua nitaweza kufanya biashara gani wakati nipo chuo. hata kama itahitaji usimamizi wa muda kidogo nikiwa off campus.
Thanks in advance