SubTopic
Senior Member
- Sep 15, 2021
- 124
- 230
Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni;
1. Cookies ni nini?
2. kwanini wanatumia cookies?
Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante
1. Cookies ni nini?
2. kwanini wanatumia cookies?
Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante