Cookies ni taarifa ambazo zinahifadhiwa kwenye browser yako iwe simu au computer, taarifa hizi zinasaidia website kukufahamu wewe, cookies ndio ndani yake hubeba session, session ni taarifa zinazosaidia web app ikutambue kila ukiingia mtandaoni kwa kua http protocol ni stateless, hivyo husaidia usiweke password kila mara, mfano tangu u log in jamiiforum hawajakuuliza tena unless uki log out
Ila cookie nyingi ni za kuisaidia web app kujua unachopendelea kufanya hii inasaidia hata jinsi watakavyokutumia matangazo
Unaweza ukawa umesachi komputa ya apple af baadae ukiingia YouTube unakuta wanakuonesha ads za apple computer
Kila page unayoclick, nyuma yake browser inatuma na cookies ili web app ijue anae request hizo taarifa ni nani
Ukitaka kuona cookies google chrome mobile, nenda settings>site setting>Cookie
Ask me more abou computer