Msaada: Ninayempenda have jorned my heart

Naanzaje Ku comment bila kupitia uzi,fafanua kwa lugha NYEPESI. Ulichokiandika sijakielewa..ni kigumu utafikiri lugha za watu wa misituni..wee ni Muhadzabe?

hapana si mhadzabe na nimesoma st kayumba za zamani from primary to tertially university.na si mzur sana katika hiyo lugha ya wenzetu sio tu sijakulia huko bali pia sijasomea shule zile zenye hadhi ya juu
 
Ccm ni shida kila sehemu,ona sasa wameajiri walinzi wazee huko milembe matokeo yake wagonjwa wanatoroka na kuja kutusumbua hukuu aaghhrrrr !!
 
Ccm ni shida kila sehemu,ona sasa wameajiri walinzi wazee huko milembe matokeo yake wagonjwa wanatoroka na kuja kutusumbua hukuu aaghhrrrr !!

pole ndugu,ila naweza nikaonyesha milembe ilipo na wakakupeleka haraka iwezekanavyo.panda gari kutoka mkoa wowote hadi dodoma na ushuke stendi kuu ya mabasi.chukua boda boda au tax halafu dereva yeyote atakaekupakia mwambie akupeleka magereza au mlezi au hazina au akupeleke moja kwa moja kwa moja hadi hospital ya milembe.ukifika milembe kuna geti moja tu lakuingia ingia moja kwa moja na nyoosha mbele ukiona maua kata kushoto,nyoosha moja kwa moja utaipita hospital then kwa mbele kidogo utaona nyumba na contena then pinda kulia,na mbele utaona geti na kuna wadada weng wamevaa nguo za walizi,nakushaur ukifika hapo,fungua geti hata kama watakukataza then pinda kulia utakaribishwa na binadam wanaofanana na wewe wakiwa wamevalia shati na kaptula za bluu,watakukaribisha na utadumu nao.karibu milembe tafadhari,tunakuribisha sana,karibu.
 

wew hutaki msaada umeandika kiluga chako humu khaaa
 
Hahhaha labda Ras Simba anafundisha na Kiswahili pia. Atakuwa kajifundisha "standard swahili" buana

Kweli ras simba kiboko, atakuwa anafundisha lugha nyingi mnoo mana hii ya leo sijui ni kisandawe!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…