Msaada: Ninayempenda have jorned my heart


isingekua sheria mpya ya mitandao ningekutukana

siogopi ban
 
Matokeo ya kuipa "Google translate" kutafsiri Kilugha! Jitumeni kidogo jamaaa!
 
English ya nchi gani hii rafiki yangu Ramadhan Issa? Au sio wewe?
 
Hiv huyu jamaa mda wote huwa anakaa anawaza jinsi ya kuandika tamthilia za Mapenzi.
 
Hiv huyu jamaa mda wote huwa anakaa anawaza jinsi ya kuandika tamthilia za Mapenzi.

mkuu lengo langu kwenu na kwako ni kupata msaada wa kimawazo kwa kilichonikuta.nitashukuru zaidi kama utajikiti kunipa msaada wa kimawazo.karibu tena tafadhari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…