[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pengne utakuwa panya mwenyewe na mende wakawa watoto wako we fuga tu nyoka.
Unataka kuruka jivu ukanyage moto? Unataka kumuua mende kwa risasi?Habari zenu waungwana
Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.
hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili niweze kuwatokomeza viumbe hivi .
Uwepo wa nyoka utanisaidia kupungua kwa panya na Mende,sababu hawa wadudu watakuwa kitoweo cha nyoka.
msaada kama kuna mtu anaweza kunipatia nyoka nitamlipa kiasi chochote tutakachokubaliana na kama watapatikana nyoka wawii itakuwa vizuri zaidi.Au kama nikipewa maelekezo wapi nitawapata nyoka hao itakuwa msaada kwangu mimi.
shukran.
hahaha hapo mko sebuleni mnacheza kidogo kabla ya kwenda kulala
Hii kitu sio mchezo mkuu,hahaha hapo mko sebuleni mnacheza kidogo kabla ya kwenda kulala
Duuuhh black mamba ni hatari ingine mkuu!!
Fuga wote, ila sio huyu mwenye mdomo mweusi na kichwa kama jeneza(MAMBA MWEUSI), Siku akikasirika mtaa mzima utahamia kwenye kabati za mochwari.
Kila la kheri nyoka wote wanafugika tu kama paka.
Kwa kimombo chetu huku bongo tuna muita Koboko, tena hao sio wa mchezomchezo kabisa wanapatikana Afrika pekeeDuuuhh black mamba ni hatari ingine mkuu!!