Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Vichochoroni ndiyo huanziaga NIKISHANOGEWA ndiyo najitokeza PEUPEEE
😜😜😜😜😜

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka
Ila hataki wa vichochoroni..anataka waje peupe
 
Hivi kumbe sikumalizia sentensi yangu eeh.?
Ilitakiwa niandike kwamba subiri Hadi Yesu arudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahadi siku zote huwa ni Deni..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kenzy magauni yangu ya mtoko anayaiya Yesu ni mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zuri Hilo,ukiliona hutatamani kuacha kuliangalia
Plz usimuonyeshe promise me darling..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kabla ya kula tunda tulisali kwanza kwa jina Yesu na yesu alitajwa sana wakati nakula tunda pia tulipomaliza tulisali tena kwa jina la Yesu 🀣🀣🀣🀣🀣

πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜€ Yani tunda takatifu kabisaa Hilo
Upeleke mrejesho kuleπŸ€”
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla ya kula tunda tulisali kwanza kwa jina Yesu na yesu alitajwa sana wakati nakula tunda pia tulipomaliza tulisali tena kwa jina la Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu wangu [emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Furahia mkuu kwa udomo zege maana Takwimu ya wanaoishi kwa UKIMWI Tanzania ni watu milioni 2 na kwa Siku watu 225 wanaambukizwa UKIMWI.(HIV)....Endelea na Udomo zege ili usije kujiingiza kwenye watu 225 wanaopata ngoma kila siku kwa TZ.
 
Halafu napinga na nakemea kwa ukali wengine kutongozeana hapa wakati sijapata suruhisho!,nafsi inaniuma ndugu zangu hasa mnaowatongoza nami nawapenda!..
Napinga na nakemea kwa ukali zaidi na zaidi nami ninao wivu.

NB: Na mwenye wivu ajinyonge.
hahaha una wivu sana manina😁😁😁😁
 
Halafu napinga na nakemea kwa ukali wengine kutongozeana hapa wakati sijapata suruhisho!,nafsi inaniuma ndugu zangu hasa mnaowatongoza nami nawapenda!..
Napinga na nakemea kwa ukali zaidi na zaidi nami ninao wivu.

NB: Na mwenye wivu ajinyonge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom